List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Habarini wana JF hasa wale wana mabadiliko (kama wanavojiita).

Siku zinazid kupukutika huku joto la uchaguzi nalo likizidi kupanda hasa kwa upande wa UKAWA na kwa upande wa CCM kazi ikionekana kuwa rahis sana (kwa kua walijipanga)

Ndugu zangu wana CDM niliwapenda sana hasa pale mlipotumia mda wenu na nguvu kubwa kupita Tanzania nzima mkifichua maovu ya serikali iliyopo madarakani huku mkiuaminisha umma wa watanzania kua nyie ndio wakomboz wetu wapya.

Hamkuishia hapo mkaenda mbali zaidi mkaanzsha harakat za kuvua gamba na kuvaa gwanda (ila leo mmevaa gamba juu ya gwanda),Chadema katika ubora wetu tukawa na ujasiri wa kusimama hadharan na kukemea Rushwa,ufisadi huku tukihubiri haki na uwajibikaji wa viongozi ktk nyazfa mbalimbali.

Tukawaletea watanzania "LIST OF SHAME" ambayo ilifanyiwa utafit wa kutosha (kwa mujibu wa waandaaj) mkatusomea pale mwembeyanga na hapo ndipo tukazidi kujiongezea credit na iman yetu kwa watanzania ikazidi kuwa kubwa siki baada ya siku.

Lakin kwa mwenendo wa makamanda hawa walioifanya LIST OF SHAME kuwa LIST OF FAME,naanza kuona ile dhambiya kusaliti mamilioni ya watanzania inawatafuna taratibu kwa sababu ya tamaa ya vipande vya mkate,mana ni dhahiri kua hali si shwari kwa upande wa chadema na UKAWA kwa ujumla.

Baada ya uchaguzi siku ya Jumapili ya Tar 25/10/2015,ifuatayo itakua LIST OF SHAME MPYA:-
1.Mh. Freeman Mbowe
2.Tundu Lisu
3.John Mnyika
4.Halima Mdee
5.James mbatia
6.Joseph Mbilinyi
7.Godbless Lema
8.Joshua Nassari
9.Prof. Omary
10.Edward Ngoyayi Lowassa

Kwaheri CHADEMA,kwaheri UKAWA
 
Unajifunza kutuma post sio? Umeambiwa ukiitaja vibaya chadema ndio unapata points au...Waulize wenzako!
 
Kweli makamba ana kazi inamana mpaka wewe atakulipa kweli?
 
Nimeumia lakini I must admit it, CDM you just committed a suicide mission, we shall really miss the real CDM
 
Thread hii ni moja wapo ya vyanzo vya findings za ile ripoti pendwa ya 1 kati ya wa 4!
 
Back
Top Bottom