Recent content by Producer Jas.

  1. P

    Magazeti Ya Kumhusu "Lowassa" Yaongoza Kwa Mauzo

    -Wanaompaka Matope Lowasa Wanataka Wamchague Nani,? -sisiemu Tangu Uhuru Mpaka Leo Bado Haijazeeka,? MAONI YANGU. Kama Tumeongozwa Na Sisiemu Tangu Uhuru, Na Wana ( UKAWA ) Wengi Walijaribu Kuipinga Sisiemu, Lakin Kutokana Kwamba Kura Za Sisiemu Na Za Wana Mapinduzi (UKAWA)...
  2. P

    Safari ya mateso katika mahusiano yangu

    Mkuu, Kama Yalikutokea, Pole.. Binafsi Imenigusa, Subiri Maisha Yao Itakavyokuwa Then Uje Na Thread Nyingine, 'MSALITI AJUTIA UAMZI WAKE'
  3. P

    Kura za Maoni UKAWA tayari imeshinda

    Ofisini Kwetu, Ana Kura Zote.
  4. P

    Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    -unampigia Mtu Simu Hajapokea, Anakuta Missed Call, Anaamua Kukupigia Anakuuliza Ulikuwa Unanipigia, Unamjibu 'hapana Nilikuwa Nakagua Simu Zilizoko Silent' -unamkuta Mke Wako Yuko Na Mshikaji, Wako Ziro Distance Unamuuliza Mke Wangu Unanisaliti, Anakujibu 'hapana Nimekuja Kudai Madeni...
  5. P

    Angalia maamuzi magumu

    -kusikia Haja Na Usiende Chooni Ni Maamuzi Magumu. -kuendelea Kutenda Dhambi Na Unajua Siku Ya Mwisho Ni Moto (Fire) Ni Maamuzi Magumu. -kubeba Mimba Shuleni Ni Maamuzi Magumu. -kukopa Pesa Vodacom Na Kuweka Vocha Kwa Mwingine Ili Usikatwe Na Kununuliwa Muda Wa Maongezi Kupitia Sim Ya...
  6. P

    Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

    Wimbo Wa 'nikusaidieje' Wa Pr Jay,. 'Nampenda Yeye' Wa Mh. Temba, 'dhahabu' Wa Dully Sykes,. Zinanikumbusha Utamu Wa Bongoflava Za Zamani, Zilikuwa Zimetulia Sana, Uache Za Sasa Wanakurupuka,. Nyimbo Zima Inapigwa Hupati Ladha Wala Maana., Kwa Upande Wangu Wananikera Sana.
  7. P

    Nashindwa kuwaamini wanaume

    Plz' Ni Pm( private ) Nikwambie Kitu,.
  8. P

    Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Kumbuka Hakuna Lililoko Sirini Ambalo Halita Fichuliwa,. Na Hakuna Litakalo Sitirika Chini Ya Jua,. Kama Ni Kupanga Kumzalia Mtoto Huyo Bwana, Utakuwa Umeshapanga Wala Hakuna Ushauri Unaotaka Usaidiwe, Coz' Umesha- analyz Kila Alichokufanyia Na Unaonyesha Wazi Kuwa Uko Tayari Kuzaa Nae...
  9. P

    Wadada na wakaka msitumie lotion au mafuta yatayolainisha mwili na kuwa laini ka papai lilioiva

    Unataka Wakakamae Kama Superglue,.? Lengo Lako Nini,. Labda Na Mi Sijakuelewa.
Back
Top Bottom