Recent content by Prod

  1. P

    JamiiForums Tanzania Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii

    Kuna watu wanafanya Maria space na kumyweshwa sumu miaka na miaka wanasema chadema akiondoka lissu kunabaki hamna kitu wtf bro .Chama kinaonekana umekikuta mikononi mwa watu unadunda unavaaa tshirt unaonekana mjanja town alafu hawa watu unawaona ni wajinga waliojenga chama kisa kauli za mtu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA D-link router 4G unlocked

    Faithful ndio kipengele especially kwa wale ambao hatupo mwanza inatia shaka kidogo
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja

    Wtf this is sht ,MwanAume uko pekee Pambania ndoto zako Mademu hawatafutwi qmmk
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Shida ni iko 1. Women: misconceptions and narcissistic abuse hana heshima,jeuri,katili,nidhamu / obey their boss more than their husband (ana thamani kuliko mume) 2. Desire of women to become men .Fake 3.Men: Loose frame and responsibility
  5. P

    JamiiForums Tanzania Pitia elimu fupi: Subaru forester 4th generation (eyesight)

    Wtf bro Nini kimekukuta
  6. P

    JamiiForums Tanzania Pitia elimu fupi: Subaru forester 4th generation (eyesight)

    Hii gari unaisukuma sh ngapi?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria Subsection 47A kwenye Criminal Procedure Act (CPA) yanaenda kumuokoa Luteni Urio na Polisi wote wahusika kwenye kesi ya Mbowe

    sina rais mpaka Leo hii simtambui😄 hamna la maana Wala halina ladha I'm swear
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria Subsection 47A kwenye Criminal Procedure Act (CPA) yanaenda kumuokoa Luteni Urio na Polisi wote wahusika kwenye kesi ya Mbowe

    ACHA ujinga MbowesioGaidi malipo Ni hapa hapa duniani litakutokea na wew usingiziwe Utajuta!mmbw wew
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

    Mi namshangaa sana anayepinga katiba mpya nzuri akizani Ni ya CDM kumbe Ni ya watz Wote tumeona jinsi gan ata magereza yanajaa kisa kesi za kubambikizwa na viongozi walafi wa serikali baada ya Kinga hizi!mambo mengine Ni ya FAIDA Sana Katiba ndio msingi wa maendeleo itafika 2025 hata ayo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

    Swala Ni kwamba katiba iloyopo haitoi mwanya kwa anaebadilisha au kuvunja kuhukumiwa kwani imeshasema rais hakosei na yu juu ya sheria Maasi mengi yanafanyika kupitia rais kwa sababu toke a mwanzo hashitakiwi na Ni kuzuga 2 Kenya imewezekana south Ghana n.k katiba nzuri
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

    Nin dhumuni la kujiwekea Kinga kwa binadam? Tafsiri yake Ni kwamba atakosea na hawajibishiwi kwa iyo atakua just ya sheria hataka Kama akikosea au kutumia sheria vibaya!hili litawamaliza CCM wenyewe ,Hapa naona haki za kibinadam zikivunjwa zaidi na samia!Hii haihitaji chama kujua ,Tuna sheria...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ccm Ni Laana !hapo hamna sauti ya wananchi Ni bunge la bure uozo mtupu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sifuri Ccm ni laana kwa nchi ,Sina faida nayo kamwe mmechoma Hadi karume Ngoja nikanye soda $h 600
Back
Top Bottom