#Ni hiv mm nilikuwa na DDC kwenye PCB na niliwasiliana na baathi ya shule, wengine walisema wanachukua mwisho CCD ila wengine walikubali DDC->Hawa waliniambia wanaangalia uwezo wa ww kumudu tahasusi na hata kama ina AAA huna uwezo hutosoma hiyo tahasusi!!
Hiyvo ili mradi umefaulu don't give up...
,,, mfano kwenye "Tech Cetificate in Clinical Medicine" wana-consider D pass kwenye PCB pamoja na D pass kwenye English na Math's na hapo nimekithi vigezo...
Hivyo nikianza na cetifivate miaka miwili kisha niingie kwenye kazi kwa miaka miwili kisha nije ku-upgread nisome "Odinary Diploma in...
Katika hizo course mbili hapo nini tofauti yake katika usomaji wake?
Na kwa mtu mwenye D-chemisty, D-physics na C-Biology inaingia hapo kweli? kwani pananichanganya kidogo!
Naomba ushauri na ufafanuzi wenu ndg zangu. Ahsante
Form deadline NECTA 2017
Ahsanteh kwa maneno mazuri na ya kutia moyo...[emoji120]
, hata hivyo mm ni mwitimu wa kidato cha nne mwaka jana 2016 ila sijapata 1st selection ingawa jina langu lipo 2nd selection...
Hivyo ningeomba ushauri ni vyema kusubiri 2nd selct ili niende form 6 kwanza thn jeshi au kujiunga moja kwa...
Sina uelewa kiivo ila kuna NGO's kama CHAWATA nathani hupata ufathili kutoka ktk mashirika mbalimbali na makampuni makubwa ila ruzuku serikali sijajua ndg yang
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Naomba kuuliza kwa nafasi za kujiunga na jeshi la taifa yaan Uwanajeshi na siyo uaskari huchukua wahitimu wa kidato cha nne(form4) au kidato cha sita(form6) pekee au wote kwa ujumla......??
Kwani kuna uvumi kwamba ni kwa wahitimu wa kidato cha sita(form6) tu hupata nafasi hizo...!!
Hivyo...
NAOMBA KUULIZA WAKUU,
Mwanafunzi aliye hitimu kitato cha nne anaweza kujiumga na jeshi la taifa yaani awe Mwanajeshi,
Mbali na Jeshi la polisi (Askari)
Kwani Kuna utata kwamba kujiunga huitaji wahitimu wa kifato cha tano pekee...
Naombe msaada wapendwa kwa hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.