pwpw & ahsante pia kwa hiloWe omba tu usicomplicate sana.. utacheck zali lako.. mwisho ukaanza kujiulizauliza till deadline inafika...
Vigezo vikubwa sana mwaka huu.. kwa vyuo vya private itawalazimu kuchukuwa hata wale wenye D D ili wapate wanafunzi..
Usidanganye umma... Waliogawanya wana maana sahihiWe omba tu usicomplicate sana.. utacheck zali lako.. mwisho ukaanza kujiulizauliza till deadline inafika...
Vigezo vikubwa sana mwaka huu.. kwa vyuo vya private itawalazimu kuchukuwa hata wale wenye D D ili wapate wanafunzi..
,,, mfano kwenye "Tech Cetificate in Clinical Medicine" wana-consider D pass kwenye PCB pamoja na D pass kwenye English na Math's na hapo nimekithi vigezo...Usidanganye umma... Waliogawanya wana maana sahihi