Alichosema Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo katika maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Lindi.
"Miaka 20 iliyopita baba wa taifa alikuwa hai lakini sasa ametangulia mbele za haki. Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa...
Baada ya break up, mwanamke akianzisha mahusiano soon after anaonekana hajatulia na jamii inayomzunguka inamchukulia vibaya. Lakini mwanaume anapofanya the same thing, jamii hiyo hiyo inaona ni sawa tu na wengine hata husifia 'speed' yake ya kumove on. Hii ni haki kweli wadau?
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa kushop online. Mara nyingi ninapohitaji vitu kama nguo, begi hata viatu, naingia zangu mtandaoni nanunua chapchap mambo yanaenda.
Juzi kati hapa ndo nikaamini kuwa sio kinachong'aa ni dhahabu. Niliona kitu kwenye Instagram account moja kubwa tu kama kawaida yangu...
Siku hizi kuweka contact lens na kubandika kope imekuwa habari ya mjini. Ni wadada wachache sana ambao hawafuati trend hii.
Ila sasa jamani dada zangu mnapobandikwa vibaya kope huwa hamuoni? Shida ni kukosa wataalamu wa kazi hizi au mnafanya kwa bei chee? Kiukweli muda mwingine unatamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.