Kama bado hujafanikiwa kesho tembelea Makao Mapya, juu kidogo ya stand ya vofodi upande wa pili (kushoto kama unapandisha Seliani ila usifike ofisi za mabasi pale) kule ndani maduka ya spare za magari kuna ofisi jamaa ana deal na funguo za vyombo moto.
Habari za wakati huu ndg,
Nivumilie uandishi wangu ila nina tatizo huku zaidi ya mwezi na nusu sasa tangu umeme ulipoisha kwenye nyumba. Maombi nilituma 2017/18 kabla ya mradi wa REA haujafika nilipo ila umeme zilipata mwaka jana mwishoni. Kauli ya Mh Rais ilitusaidia wengi kuharakishiwa...