Recent content by principles

  1. P

    JamiiForums Tanzania Je, Ukosefu wa fedha ulishawahi kukudhalilisha? Share experience yako

    Vipi huku Omba mrudiane
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umakini unahitajika sana,,

    Ndio mana nimemwmabia ukweli kua ulikua unalinga kwa jamaa saivi kuwa mpole lea mtoto mama mkubwa kaja juu
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umakini unahitajika sana,,

    Ndio hivyoo aiseee
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umakini unahitajika sana,,

    Dada ananionyesha simu jamaa anadai alikua anamuweka kwenye 18 na sasa kanasa
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umakini unahitajika sana,,

    Habari za wakati huu wana MMU... Moja Kwa Moja niende kwenye mada kwamba kwenye suala la mahusiano Umakini unahitajika sana hususani linapokuja suala la maamuzi... Week hii nipo kijijini kuhusu musuala ya kifamilia hivyo basi kuna mzozo mkubwa sanaa Nimeukuta. .. Ipo hivi mtoto wa mama yangu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania MAPIGO YA RUSSIA TO NATO

    Jamani labda mimi ntakua sijaelewa vizuri wajuzi wa lugha ya malikia waje hapaa
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

    Duuu....kama kuna ukweli fulani hivi mana kiwango kikubwa kwangu yana ukweli kabisa roho hiyoo ipo yani hata nikivaa smart kabisa bado na one kana nipo ovyo yani nipo nipo tuu hali ya kiuchumi sio haba sana a ila daa story ndefu mkuu ... Mshana Jr. ..
  8. P

    JamiiForums Tanzania Yaani copy right haihitaji DNA ,damu ina nguvu sana

    Mkemia mkuu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Jamani game ya leo algeria na tanzania wanaonyeeha channel gani
  10. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Numeshapatia mkuu PM
  11. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkoa wa morogoro Wilaya ya kilombero Tarafa ya mlimba Kata ya utengule Kuna transforma limeharibika tangu mwaka jana watu wa kijiji hicho hawapati umeme msaada wenu tanesco
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Kwa uhitaji wa mwanaume wa umri wako aiseee hapo kupata ni shida sanaa mana mmmm
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba jinsia ya kike

    Hawajaja mkuu
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba jinsia ya kike

    Asante sanaa
Back
Top Bottom