Habari zenu marafiki,
Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa nia na madhumuni ni kutafuta marafiki kwa ajili ya kubadilishana nao mawazo ya kimaisha. mimi naishi singida ni mfanya kazi kwenye sector binafsi so najitegemea, umri wangu miaka 30 dini yangu mkristo,natamani kupata marafiki...