Recent content by Princesscharming

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ajali Hii imegeuka kuwa jambo lingine kabisa

    Hii ni utani uliofanywa na Jeff Koinange na broadcaster mwingine huko Kenya sikumbukì radio yao ila nilisikiliza mwaka juzi
  2. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Igoma - Kishiri

    Ila Mwanza imekuwa zizi sio jiji machinga wanapishwa na magari
  3. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Igoma - Kishiri

    Luchelele hali ndo haifai ni shida jamani.halafu barabara za ilemela nyingi ni nzuri
  4. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Yani wala gharama a anadai kubwa sana misingi miwil vyumba 4 kila nyumba eti katumia tripu 43 za mawe
  5. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Fundi rafiki yangu anajenga nyumba mbili tambarare kwenye kichanga mwanza mara ya kwanza fundi alimwambia mawe tripu Kumi kila msingi mifuko 30 cement msingi wa kwanza akachimba cm 60 akamwambia aongeze mawe trip 6 chini kulikuwa na mawe ndo maana hakuendelea.sasa presure imekuja huu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kuwaua watu wawili kwa kukusudia

    😁nimecheka itakuwa kweli upo nae ninavyomjua Ukwaju hayo ndo maneno yake sema hana makuu si mtu wa mvurugu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Biashara hii ina faida kupita biashara zote

    Sio rahisi kihivyo biashara ya uhakika machimboni ni baruti
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    I will be thankful mumy ntakutafuta
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    😁🤣 nipo serious sana tu sema inabidi kwanza niachane na ajira ya mkoloni.hahaha me mbona nafanya
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Aa Ahh unawekwa unatoka watu wanasahau maisha yanaendelea
  11. P

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa "Mentor" katika biashara

    Nimejifunza kitu fulani hasa kipindi hicho nilichoamua kuachana na white collar job.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho nilichokifanya baada ya kukosa kazi kwa wiki mbili

    Nimempenda baby boy
  13. P

    JamiiForums Tanzania Regina luhanga we miss u much

    Oh my God Ether with your dimples !May your soul and that your dady rest in peace.Kumbe Reg alifariki I thought ni Esther tu.
Back
Top Bottom