Imetumika miezi 3 tu haina tatizo lolote, black in colour ipo na kila kitu chake kuanzia box kama unavyoliona hapi hadi risiti kwa Tsh 800,000 (Laki 8 tu)
NiPM, Serious buyers only.
Hii tabia ya kumsaidia mtu hafu unamsakama na kumkumshia kila siku kuwa bila wewe yeye asingekuwepo hapo ni tabia mbaya tena chafu sana. Saidia kama umeamua kusaidia then ambaa alaaaah.
Tenda wema usingoje shukurani.
Yaaani huyo Wema ananiboa sana kumsimanga Kajala kisa hiyo 13M lol
Kuna rafiki yangu naye alienda last year for leasure alikaa 1 week na alienjoy. Tafuta agency hapa bongo yeye atatafuta agency kule watakuunganisha na utapata invitation. All the best.
Hapana, but am sure hosp kama muhimbili, kcmc au bugando lazima watakuwepo.
Kama anatoka damu nyingi inaweza kumuweka katika hatari ya kupungukiwa damu mwilini so the sooner the better!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.