Recent content by Princess Somali

  1. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu CRDB mulika tawi la Chamwino Dodoma

    Hilo ni tatizo LA CRDB everywhere Sijui wanajiona kwamba wana wateja wengi ndo maana hata thamani ya mteja hawaioni Kuna siku nlienda CRDB tawi La pale KCMC moshi, kwa kweli huduma nliopata pale sikupendezwa Nayo hata kidogo I think wahusika inabidi waliangalie hili swala It will cost them
  2. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania Moshi ipo kama nilivyoiacha

    Mji utakua vipi wkt mnakimbilia kujenga dar?? Acha tu moshi kubaki hivi hivi Moshi is beautiful n the weather is amaizing!!
  3. Princess Somali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Being a wife material sucks

    Possible
  4. Princess Somali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Being a wife material sucks

    To me every woman is wife material
  5. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Wananiambia niingize number ya kampuni, ndo ipi hyo??
  6. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Hivi ndo wanalipaje?? Maana nimejaribu Nimeshindwa
  7. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    What are the requirements?? Vyeti gan nahitaji kuambatanisha??
  8. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania Enjoy the song, happy weekend

    Its a slow, haitopiga makelele anywe listen hata laterz
  9. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania Enjoy the song, happy weekend

    http://youtu.be/mt8jifKlbTc
  10. Princess Somali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Women: Here's why we need you to dirty-talk in bedroom

    Who ever originally wrote this article is an amaizing writer..!! I felt like i was reading a romantic novel.
  11. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania PCB na PCM ipi ni ngumu advance kusoma

    Soma PCB.... Wala sio ngumu, wewe tuu na jitihada zako..... Pcm mtihani, physics na math sio v2 vya mchezo
  12. Princess Somali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama uko above 30 huna mke/mume wala mtoto we ni masikini tu

    Bottom line is wanaume siku hiZi hawataki kuoa na wanawake they are forgeting their true worth....... Hayo mengine yote sijui kujipanga or whatelse ni visingizio tuuu
  13. Princess Somali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    Ofcoz hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanamme, only grown ups can understand this, watoto ndo wanang'ang,ania eti its possible kua na urafiki with the opposite sex, eti "i love him like a bro/sis" thats idiotic kabisa!!
  14. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania N. Korea vows 'merciless' war against US

    Huyu jamaa ana mikwara tu kama baba yake, sio mara ya kwanza naskia North Korea inamtishia Marekani but each time sijawahi kuona action
  15. Princess Somali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Guest House na Lodge nyingi hapa Tanzania hutumia sabuni ya aina moja ya kuogea?

    Kwani tatizo nn?? Si uende na sabuni yako
Back
Top Bottom