Yani nimennua bundle jipya nikajua zimeisha MB ila bado nika uninstall JF nikainstall upya bado nikaenda google kutumia browser pigwa na chini na sikupata akili ya kuingia insta kwenye page nikajua kuna nini hangaika weee nane ucku ndo najua ni mtandao dah I'm back [emoji126]
Hapa kila mtu na busy zake ndomana karbia wote wana fake ID km unataka kumjua jarbu kupata username yke kisiri Siri ukuje huku umsearch NB: Sina uhakika km unampata mtu kwa username yke hapa
Mimi nina tabia za kupenda kukaa mwenyew tu sehem mfno chumban shulen cpend kuongea na watu Sana hata akija mtu nahic ananisturb nikickia saut sauti nahic zinanikera nakuwa nataman niende sehem ambazo watu hawanijui nianze maisha mwenyew nataman niende km beach nikae tu then niondoke hotel niwe...
Gavrela and Gavrila, Gisella and Giselle, Latasha and Latisha, Latrice and Latricia, Leondra and Leondrea, Lorian and Loriana
Lubna and Lubaina, Laima and Lamia, Luma and Luna Gamila and Galila, Galia and Galila, Grisma and Grishma
Ndio ya beit ras ila kwa hiyo status yake na fee cdhan km ina hadhi ya government labda iwe imeanza mwaka huu bila malipo ila hadi 2017 waloingia wamelipa
Laureat international school
Highview international school
International school of Zanzibar
Wiles academy
Glorious academy
Memon academy
Trifonia academy
Sunni madressa school
Mahad istiqama school
Hifadhi nursery primary and secondary school
Zanzibar progressive school
Mbarali preparatory...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.