Recent content by Princess maryam

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda kutalii, kusafiri, holidays na adventure

    Watu nakutana nao huko huko. Issue trip iwe well organized from transport to hotel
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda kutalii, kusafiri, holidays na adventure

    Kweli wewe Young at heart. nice memory lakini
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda kutalii, kusafiri, holidays na adventure

    Pesa always haipo ila ni kujiwekeza na ku plan tu. Kila kitu kinawezekana.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda kutalii, kusafiri, holidays na adventure

    Yani wewe ni kama mimi kabisa, alafu kuna raha fulani hivi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda kutalii, kusafiri, holidays na adventure

    Habari zenu wana jamvi, kwanza kabisa mi ni mmoja wa watu wanaopenda sana kusafiri, kutalii maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi. Naskia raha sana kuwa sehem tofauti, kuona vitu tofauti. Naleta kwenu uzi huu, tupeane ideas ya maeneo mbalimbali ya kutalii, experience zenu za kusafiri ili kama...
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejielewa

    Wanawake hawakuumbwa kuwafanyia kitu wanaume. Waliumbwa kulea familia na kuzaa kwa uchungu.
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejielewa

    Hii point moja kubwa sana
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejielewa

    Fact
  9. P

    Hatukuumbwa kutafuta. Kwasababu hata ukimuoa hana kitu still atakutumikia, atakuzalia watoto etc
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejielewa

    Yupi?
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejielewa

    Fact
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejielewa

    Sawa nasubiri
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejielewa

    Yani ale bureee weee akipata asepe, mbona sio poa kabisa
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejielewa

    Shusha nondo basi tusikie
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyejielewa

    Inakuaje mbinafsi wakati anamhudumia kila kitu? Huoni amejitoa sana?
Back
Top Bottom