Recent content by princess maggie

  1. princess maggie

    Msaada: Kwenye Ajira portal nimejaza bado inasoma 92% completed. Ni nini tatizo?

    Kwa uelewa wangu proffesional ni zile kama wa akaunts anaposoma cpa, au banking anaposoma cpb etc....ila trainings en workshop ni mambo ambayo ulisoma au kuattend in a short time either masaa au siku mfano semina ya kitu flan km enterprinuer au manament skills smewher
  2. princess maggie

    Msaada: Recruitment portal ya sekretarieti ya ajira inasema sina vigezo wakati nilishawahi omba kazi zingine hapo awali

    Msaada kwa portal yangu, inanionesha only 84% complete na sina cha kuongeza,chances za kua shortlisted apo zikoje
  3. princess maggie

    FNB bank ( first national bank)

    Savings akaunt zenu makato yakoje ??
  4. princess maggie

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Hii bado ipo mkuu ?? Toa mawasiliano tukuchek watsap kama bado ipo
  5. princess maggie

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Nahitaj nyumba maeneo hayo kwa bei ya 150,000-200,000 self ikiwa na hali nzur.....msaaada kweny tuta tafadhal...kinahitajika mapema
  6. princess maggie

    Ukiulizwa swali hili kwenye usahili utajibu vipi?

    Mm pia nilikua nawaza ivo tang muda mrefu
  7. princess maggie

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Nahitaj nymba ya chumba na sebule self, jiko na iwe na fence maeneo ya tabata kwa 150, kama kipo ata leo malipo yanafanyika
  8. princess maggie

    Jinsi ya kutuma barua ya kazi kwa email (Msaada)

    Nzuri zaid ni kueka zote katka file moja in pdf form..tgen una attach. Sehem ya kucompose unakazia tu kama kawoli alivosema
  9. princess maggie

    Msaada wa haraka unahitajika

    Ila kiswahili kina emphasis sana...just thinking out loud
  10. princess maggie

    Mpangilio mbaya wa meno

    Nijuavyo mm mpangulio wa meno hutegemea na meno yako yalivo...mara nying kama hayako vibaya sana ua kuna kamba inafungwa kweny meno ya aina kam ya chuma kwa muda usiozid miez mitatu na gharama yake ni zaid ya 200k...ila kama yako vbaya then kutahitajika kutoa mengine na mengine kuyafunga....
  11. princess maggie

    Nafasi za Kazi mbalimbali leo tarehe 4/12/2017

    Kama una nia na kazo we omba na adress yako toa kua uko tanzania....makampuni mengi ata kama ni ndan ya tanzania mengine ua yanafanya interview kwa njia ya skype so naamin na wao ni kampun kubwa na inayojielewa...watatafuta njia ya kufanikisha iyo interview kama ukipita...ata km ni kukutumia...
  12. princess maggie

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    Kiongoz nmeku pm number kwa ajil ya lile grup tafadhali...naomba connections
Back
Top Bottom