Jinsi ya kutuma barua ya kazi kwa email (Msaada)

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
419
Habarin ndg zangu,,

Naomba kuuliza, hvi kwenye kutuma barua ya maombi ya kazi kupitia email (Cover let., CV na Vyeti) kipi ni sahihi kati ya hvi[emoji116]

1. Kuandika barua kwenye ile sehem ya email alafu na attach na CV + vyeti?
Au
2. Kuattach vyote yaan Barua, CV na vyeti?
Natanguliza shukurani.
 
Nzuri zaid ni kueka zote katka file moja in pdf form..tgen una attach. Sehem ya kucompose unakazia tu kama kawoli alivosema
mkuu kipi sahii..kuandika kwa mkono then unascan na kukonvert kuwa pdf? au kuandika kwa kutype ktk pc/smartphone
 
Wewe type kwenye komputer, simu kkisha unaweza kuconvert kwenda PDF ili kuepuka any changes. Hayo mambo ya kuandika kwa mkono yalishapitwa na wakat otherwise tangazo Liwe limekuelekeza kufanya hivo. Wenzako tunafanya hivo kila tunapotuma na tunaitwa tu kila mara
 
asnte mkuu
 
Back
Top Bottom