Recent content by Princess Lady

  1. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Magufuli ameshindwa kuwashawishi CCM asilia na CCM maslahi! Atapoteza urais kirahisi!

    CCM maslahi na CCM asilia, ndo najua leo! vyovyote vile ndio vizuri ili UKAWA washinde.
  2. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Josephine full ma-shopping LAS VEGAS

    Dr.Slaa yuko wapi
  3. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

    Richmond in ya Kikwete. Mbona kila mtu anajua.
  4. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

    Huoni haja ya kila kitu kuwa wazi kuhusu Richmond, ikiwa ni pamoja na nusu ya ripoti iliowekwa kiporo? CCM inatakiwa itoe jibu na sio kufikiri sisi wananchi tumesahau. Mwenyekiti ananyoosha kidole kwa wengine badala ya kutoa maelezo ya kuridhisha.
  5. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kutoka NEC: Mpiga kura atapiga kura kwenye kituo alichojiandikishia tu

    Sielewi hizi BVR, kama taarifa zipo kwenye database kwanini mtu asipige kura popote?, sisi wananchi hatukai sehemu mmoja miaka, tunasafiri
  6. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

    Unakumbuka ile ripoti ya kamati ya Mwakyembe, ile nusu aliosema akisoma angeangusha serikali nzima ilikuwa inamhusu nani?
  7. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Ajali Segera: Basi la kampuni ya Metro lapata ajali, baadhi ya abiria wapoteza maisha

    'CCM ndio wamesababisha haya yote'
  8. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Unayajua Makundi Manne yatakayoifunga breki Safari ya Lowassa?

    Mpaka CCM wanahubiri MABADILIKO mchezooo!!!!! wameshikwa pabaya????? Unavyohubiri mabadiliko kuna kitu cha kubadilisha, sasa CCM wanabadilisha kitu gani, au hicho wanachotaka kukibadilisha kimesababishwa na nani kama sio wao wenyewe!!!!! UKAWA ndio wenye haki ya kuongelea MABADILIKO na ndiyo...
  9. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Nikikumbuka Mwakyembe alisema kuwa angesoma kila kitu serikali nzima ingeanguka, sasa hicho kipande ambacho hakukisoma kilimhusu nani?
  10. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Sipati picha mafisadi walivyojaa CCM, ni wangapi wataenda kunyea debe
  11. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Kwanini msubiri mpaka mahakama ya mafisadi? hivi hiyo mahakama kikwete na ridhiwani nao watapelekwa?
  12. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Natangaza nia ya Kuwania Urais kupitia JF

    Nimekubali hizo data ulizonazo, kama kweli unazo kichwani..ila mimi na siasa tofauti kabisa
  13. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Natangaza nia ya Kuwania Urais kupitia JF

    Makubwa wanatangaza wamekuwa wengi hadi huku
  14. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Tukutane Oktoba

    UKAWA mwanzo mwisho, nishachoka na CCM. Miaka 50 mingi sana kwa chama kimoja kukaa madarakani
  15. Princess Lady

    JamiiForums Tanzania Nimetembea na mama na binti yake

    Mmmmhh
Back
Top Bottom