Magufuli ameshindwa kuwashawishi CCM asilia na CCM maslahi! Atapoteza urais kirahisi!

TeamLowassa

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
1,495
936
Kwa wasiofahamu CCM imegawanyika katika makundi mawili kwa sasa:

1. CCM asilia na 2. CCM maslahi

CCM maslahi ni wachache zaidi kuliko CCM asilia, lakini wana nguvu zaidi kuliko CCM asilia. CCM asilia hawafui dafu mbele ya CCM maslahi kwa lolote lile. CCM maslahi ndio wale wanaokopi na kupaste slogan za UKAWA kwa lengo la kupiga hela. CCM asilia wanakasirika na kununa lakini hawana la kufanya. CCM maslahi ndio wenye maamuzi ya veto ndani ya chama. Mfano wa CCM asilia ni kama akina VUTA-NKUVUTE na mfano wa CCM maslahi ni kama akina Lizaboni

Angalia nguvu ya CCM maslahi dhidi ya CCM asilia

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...amiza-chama-na-kuhatarisha-amani-ya-nchi.html

Magufuli kuibuka kuwania urais kwa tiketi ya CCM hakuwa chaguo la aidha CCM asilia wala CCM maslahi, limeibuka just from nowhere kwa hasira za TeamLowassa ambao walikuwa mchanganyiko wa CCM asilia na CCM maslahi. Kutokana na nguvu kubwa ya TeamLowassa ambayo ilishindwa kuthibitiwa na Kikwete pamoja na Kitengo chake basi Magufuli akapenya pale. Ikumbukwe haikuwa rahisi kuthibiti nguvu ya TeamLowassa ndani ya CCM kwa kuwa imeundwa kwa mshikamano imara baina ya CCM asilia na CCM maslahi. Ndio wale waliomwimbia Kikwete tunaimani na Lowassa oyeee oyeee.... Hao waliokuwa wanaimba ndio waliomchagua magufuli kwa hasira za kumthibiti Kikwete. Na nguvu hii ndio inayoitesa Kikwete na CCM yake hadi leo.

Sasa alichobugi na anachoendelea kubugi Magufuli ni kutoelewa muundo wa CCM kwa sasa, yaani uwepo wa CCM asilia na uwepo wa CCM maslahi. Bahati mbaya pasipokujua anapangiwa maelekezo na CCM maslahi, na kwa bahati mbaya zaidi akasahau alikotoka. Kuwa yeye ni zao la CCM asilia na CCM maslahi chini ya nguvu ya TeamLowassa. Na inawezekana ameshindwa kuelewa hili kwa kuwa TeamLowassa kwa wingi wao wamehamia UKAWA kumuunga mkono Lowassa. Na hapa ndipo tunaposema Magufuli hakijui chama na kinaelekea kumshinda asubuhi na mapema.

=====================================================================

Magufuli sasa haeleweki anaungwa mkono na CCM asilia ama CCM maslahi maana ameshindwa kujenga ushawishi kwa kundi lolote lile. CCM maslahi wao hawana muda wa kufia chama, wao kazi yao ni moja tu kubuni miradi wapige hela waendelee na maisha yao. Wakati CCM asilia wanaumia kila kukicha wanavyoona jinsi chama chao kinavyopotea kwenye duru za kisiasa. CCM asilia hawamuelewi Magufuli. Magufuli anaweza kuwaambia wana bukuzi ambao kimsingi ndio CCM asilia wanye barabarani halafu watandaze kinyesi chao kiwe lami! Na hapo ni jimboni kwake mwenyewe! Imagine!

Ndio huyo huyo anaweza kusema kama huna sh 200 basi piga mbizi. Hapa bila kujua anawalenga CCM asilia, maana CCM maslahi hawana shida ndogondogo!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-asema-asiye-na-nauli-sh-200-apige-mbizi.html

https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/932034-dr-magufuli-hupati-kura-yangu-oktoba-25-a.html

Huyu ni Andrew Nyerere ambaye mods wamefuta uzi wake aliosema anatamani Lowassa ashinde urais

https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/923953-mgombea-urais-wa-ccm-ni-batili.html

Hapo nimewataja CCM asilia wachache sana wenye ushawishi humu, lakini wapo kama akina KILIVITE Mingoi shost na wengi ambao wao wameungana Lowassa huko huko UKAWA

==============================================================
Kwa upande wa CCM maslahi hali ndio mbaya zaidi. Magufuli haaminiki. Haeleweki msimamo wake ni upi kwa issues kubwakubwa na hata ndogondogo. Ni mtu wa kuyumba. Hana msimamo thabiti. CCM maslahi hawana imani naye kama akiukwaa urais nini hatima yao katika maslahi yao.

Unaweza kusoma hapa na kuona kinachoendelea ndani ya CCM kwenyewe hasa, yaani CCM maslahi. Wamekata tamaa na hawajui muelekeo wa mgombea wao wa CCM. Kwamba, hata akishinda nini hatma yao ndani ya chama???!!! Wameona wasuse kimya kimya. Kumbuka hapa tunaongelea ndani ya CCM pekee hatuongelei nje ya CCM.

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...a-ccm-kizungumkuti-wajumbe-wasusa-kiaina.html

Safu ya mawaziri wa serikali mara zote ni CCM maslahi, sasa kusema waziri atageuka maji ni kuhatarisha maslahi ya CCM maslahi na bila shaka wanakupiga chini alfajiri kabla ya jogoo la asubuhi. Kauli za kibabe za magufuli hazipendwi na CCM maslahi.

Soma mikwara yake hapa pale wanapolalamika wanaCCM wenyewe!

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...ha-sana-mikwara-inaonesha-usivyo-serious.html

Lakini kama haitoshi, Magufuli anaonekana kuishangaa serikali ambayo kimsingi imeundwa na CCM maslahi. Hiki wana CCM hasa wa maslahi hawakipendi kabisaaaa, maana ni kama wao miaka 10 ya kuwepo madarakani hawakufanya jambo lolote.

Imefikia sehemu Magufuli anaomba msamaha kwa niaba ya serikali ya CCM, anawaambia wasiwaadhibu!

https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/929477-dk-magufuli-msituadhibu.html

================================================================

Sasa kitendo cha Magufuli kutofahamu chama vizuri ndicho kinachompa shida ndani ya CCM yake. Hakuna kundi lolote lililoshawishika na mwenendo wa Magufuli. Sio CCM maslahi na sio CCM asilia! Hali ni tete ndani ya CCM kwa sasa!
 
Life tu hilo li chama...
kinachoniuma meli ya mv. Victoria nimezaliwa nimeikuta mpaka leo hajazaa hata mtumbwi wa kupiga kwa kasia? Sasa biashara gani hiyo??

#Lowasa 2015Ikulu
 
Mimi namuona hivi JPM:
  1. Ni mfuatiliaji sana wa vitu, hasa vidogovidogo....ni jembe!
  2. Ni msomi wa kiwango cha PHD

Ila

  1. Ni kama yuko 'programmed', hana uwezo wa kuchambua mambo....hana uwezo wa kuona mambo nje ya maelekezo. Labda ni mtu ambae watangulizi wake wanamtaka.....! Atafanya watakalo wao! Wote tunajua anaelima ni mshika mpini wa jembe na sio jembe lenyewe!
  2. Upeo mdogo sana kwenye masuala ya kimataifa na diplomasia.....(alikwenda Kenya kumuunga mkono rafiki yake Raila, ambae alikua na bado ni chama cha upinzani)
RR
 
Hata Kama Angewashswishi wakawa Kitu Kimoja Kushinda Urais Kwa Tiketi ya CCM Kwake Bado Ingekuwa Ni Ndoto.
 
mtazamo wa fikra mgando,,,hawa wanajf wanaishi na haohao wasioijua jf.....hii ni forum tu ya kinachozungumzwa mitaani na jamii iliyotuzunguka kwa ujumla.....

Lipe elimu hilo mpaka magamva yapukutike.
 
Kwa wasiofahamu CCM imegawanyika katika makundi mawili kwa sasa:

1. CCM asilia na 2. CCM maslahi

CCM maslahi ni wachache zaidi kuliko CCM asilia, lakini wana nguvu zaidi kuliko CCM asilia. CCM asilia hawafui dafu mbele ya CCM maslahi kwa lolote lile. CCM maslahi ndio wale wanaokopi na kupaste slogan za UKAWA kwa lengo la kupiga hela. CCM asilia wanakasirika na kununa lakini hawana la kufanya. CCM maslahi ndio wenye maamuzi ya veto ndani ya chama. Mfano wa CCM asilia ni kama akina VUTA-NKUVUTE na mfano wa CCM maslahi ni kama akina Lizaboni

Angalia nguvu ya CCM maslahi dhidi ya CCM asilia

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...amiza-chama-na-kuhatarisha-amani-ya-nchi.html

Magufuli kuibuka kuwania urais kwa tiketi ya CCM hakuwa chaguo la aidha CCM asilia wala CCM maslahi, limeibuka just from nowhere kwa hasira za TeamLowassa ambao walikuwa mchanganyiko wa CCM asilia na CCM maslahi. Kutokana na nguvu kubwa ya TeamLowassa ambayo ilishindwa kuthibitiwa na Kikwete pamoja na Kitengo chake basi Magufuli akapenya pale. Ikumbukwe haikuwa rahisi kuthibiti nguvu ya TeamLowassa ndani ya CCM kwa kuwa imeundwa kwa mshikamano imara baina ya CCM asilia na CCM maslahi. Ndio wale waliomwimbia Kikwete tunaimani na Lowassa oyeee oyeee.... Hao waliokuwa wanaimba ndio waliomchagua magufuli kwa hasira za kumthibiti Kikwete. Na nguvu hii ndio inayoitesa Kikwete na CCM yake hadi leo.

Sasa alichobugi na anachoendelea kubugi Magufuli ni kutoelewa muundo wa CCM kwa sasa, yaani uwepo wa CCM asilia na uwepo wa CCM maslahi. Bahati mbaya pasipokujua anapangiwa maelekezo na CCM maslahi, na kwa bahati mbaya zaidi akasahau alikotoka. Kuwa yeye ni zao la CCM asilia na CCM maslahi chini ya nguvu ya TeamLowassa. Na inawezekana ameshindwa kuelewa hili kwa kuwa TeamLowassa kwa wingi wao wamehamia UKAWA kumuunga mkono Lowassa. Na hapa ndipo tunaposema Magufuli hakijui chama na kinaelekea kumshinda asubuhi na mapema.

=====================================================================

Magufuli sasa haeleweki anaungwa mkono na CCM asilia ama CCM maslahi maana ameshindwa kujenga ushawishi kwa kundi lolote lile. CCM maslahi wao hawana muda wa kufia chama, wao kazi yao ni moja tu kubuni miradi wapige hela waendelee na maisha yao. Wakati CCM asilia wanaumia kila kukicha wanavyoona jinsi chama chao kinavyopotea kwenye duru za kisiasa. CCM asilia hawamuelewi Magufuli. Magufuli anaweza kuwaambia wana bukuzi ambao kimsingi ndio CCM asilia wanye barabarani halafu watandaze kinyesi chao kiwe lami! Na hapo ni jimboni kwake mwenyewe! Imagine!

Ndio huyo huyo anaweza kusema kama huna sh 200 basi piga mbizi. Hapa bila kujua anawalenga CCM asilia, maana CCM maslahi hawana shida ndogondogo!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-asema-asiye-na-nauli-sh-200-apige-mbizi.html

https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/932034-dr-magufuli-hupati-kura-yangu-oktoba-25-a.html

Huyu ni Andrew Nyerere ambaye mods wamefuta uzi wake aliosema anatamani Lowassa ashinde urais

https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/923953-mgombea-urais-wa-ccm-ni-batili.html

Hapo nimewataja CCM asilia wachache sana wenye ushawishi humu, lakini wapo kama akina KILIVITE Mingoi shost na wengi ambao wao wameungana Lowassa huko huko UKAWA

==============================================================
Kwa upande wa CCM maslahi hali ndio mbaya zaidi. Magufuli haaminiki. Haeleweki msimamo wake ni upi kwa issues kubwakubwa na hata ndogondogo. Ni mtu wa kuyumba. Hana msimamo thabiti. CCM maslahi hawana imani naye kama akiukwaa urais nini hatima yao katika maslahi yao.

Unaweza kusoma hapa na kuona kinachoendelea ndani ya CCM kwenyewe hasa, yaani CCM maslahi. Wamekata tamaa na hawajui muelekeo wa mgombea wao wa CCM. Kwamba, hata akishinda nini hatma yao ndani ya chama???!!! Wameona wasuse kimya kimya. Kumbuka hapa tunaongelea ndani ya CCM pekee hatuongelei nje ya CCM.

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...a-ccm-kizungumkuti-wajumbe-wasusa-kiaina.html

Safu ya mawaziri wa serikali mara zote ni CCM maslahi, sasa kusema waziri atageuka maji ni kuhatarisha maslahi ya CCM maslahi na bila shaka wanakupiga chini alfajiri kabla ya jogoo la asubuhi. Kauli za kibabe za magufuli hazipendwi na CCM maslahi.

Soma mikwara yake hapa pale wanapolalamika wanaCCM wenyewe!

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...ha-sana-mikwara-inaonesha-usivyo-serious.html

Lakini kama haitoshi, Magufuli anaonekana kuishangaa serikali ambayo kimsingi imeundwa na CCM maslahi. Hiki wana CCM hasa wa maslahi hawakipendi kabisaaaa, maana ni kama wao miaka 10 ya kuwepo madarakani hawakufanya jambo lolote.

Imefikia sehemu Magufuli anaomba msamaha kwa niaba ya serikali ya CCM, anawaambia wasiwaadhibu!

https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/929477-dk-magufuli-msituadhibu.html

================================================================

Sasa kitendo cha Magufuli kutofahamu chama vizuri ndicho kinachompa shida ndani ya CCM yake. Hakuna kundi lolote lililoshawishika na mwenendo wa Magufuli. Sio CCM maslahi na sio CCM asilia! Hali ni tete ndani ya CCM kwa sasa!

Hata mseme nini lakini CCM ni ushindi
 
Mafisadi mtaongea kila kitu, wembe wa Magufuli utawanyoa tu!
 
mtazamo wa fikra mgando,,,hawa wanajf wanaishi na haohao wasioijua jf.....hii ni forum tu ya kinachozungumzwa mitaani na jamii iliyotuzunguka kwa ujumla.....
Unahaki ya kuyasema hayo ila lowasa kuwa rais ndoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom