Recent content by Princepius Kyatwa

  1. P

    Nahisi nina tatizo la figo, nakata tamaa

    UTI mara kwa mara, maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kiuno kuuma hiyo ina uwezekano mkubwa wa kuwa ni UTI ambayo haikutibiwa vizuri na dawa zenye viwango nadhani na ndiyo maana nashauri kupima mkojo pamoja na culture na sensitivity itakayoonyesha aina ya maambukizi pamoja na dawa inayowaweza...
  2. P

    Nahisi nina tatizo la figo, nakata tamaa

    Niwie radhi sana ndugu yangu naishi ughaibuni hivyo nikiri kwa nyumbani sijui gharama zikoje. Kupima mkojo kuangalia kama kuna maambukizi na kupima damu kuangalia kama figo ni nzima kungesaidia zaidi kuliko ultrasound
  3. P

    Nahisi nina tatizo la figo, nakata tamaa

    Pole sana . Muone daktari akusaidie kukufanyia vipimo. Pima mkojo pamoja na culture na sensitivity, pima damu kuangalia utendaji kazi wa mafigo yako, ultrasound inaweza kuboresha wigo wa kuangalia mafigo na vitu vingine tumboni. Pima na choo. Kukata tamaa kama unavyosema kunaweza kuchangia sana...
  4. P

    Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    Ah si soma heading halafu uendelee tu. Siyo lazima kusoma kila kitu. Kwa namna hii utakuja kutuhimiza tuache kufuatilia kampeni za Mheshimiwa Rais. Wengine tunapenda kujua yajayo.
  5. P

    Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

    Pole sana ushauri wangu ni kwamba siku nyingine ukinunua dawa dukani usisahau kusoma maelekezo nje ya boksi. Jivu la Kongo ni la kuchelewesha kufika kileleni. Na limefanya kazi kwako vizuri kupindukia. Mimi nilidhani unalalamika kwamba ulitapika mara baada ya kunusa tuu kumbe ilikuchukua masaa...
  6. P

    Kumbe kuna watu wana PhD halafu wanalipwa laki 5?

    Hapo umenena vyema. Ujira unaendana na uefanya au unafanya nini . Sasa mtu akiwa na PhD lakini kazi yake ni kukata tiketi za ushuru wa mabasi yaingiayo stendi ungependa alipwe milioni tano? Wakati mwingine hebu tuacheni ushabiki.
  7. P

    Serikali: Marufuku taasisi za umma kutumia maziwa ya unga maofisini

    Ninatumaini Mheshimiwa waziri atakuwa amefanya homework ya kutosha maana maziwa ya maji yana changamoto zake hasa kuyafanya yabaki fresh kwa ajili ya chai vinginevyo watu watakunywa chai ya mtindi. Na nahisi hii sheria inawahusu Dodoma, Shinyanga na Mwanza maana nilipoishi Mtwara na Masasi...
  8. P

    Wasomi wa Elimu ya Juu wakataa kuburuzwa

    Wengine tuliosoma kipindi kile tulipewa maboom nakadhalika BURE na wakati huo gesi, mafuta na uranium vilikuwa bado havijagunduliwa, na hazina mpya za madini ukanda wa Mbeya, Sumbawanga mpaka Kigoma ilikuwa haijagunduliwa, na Kenya bado walikuwa wanauza Tanzanite duniani kama wenye migodi wakati...
  9. P

    Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

    Jamani, huu ni ushauri tu. Haya mambo ya kuandika andika vitu, hasa kashfa bila kufikiria madhara yake ni hatari sana. Je unajua Mzee Slaa akipeleka madai yako mahakamani unaweza kufungwa au kulipa faini? Kuweni waangalifu jamani, msichukulie mambo kienyeji kienyeji yanaweza yakawaliza machozi...
Back
Top Bottom