Nahisi nina tatizo la figo. nakata tamaa

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
430
500
Hello! JF Doctors

Ninasumbuliwa na U.T.I almost miaka mitano sasa nimetumia dawa mbalimbali lakini hali ikawa inajirudia untill now Nina hili tatizo, Lakini kitu kinachoniogipesha sasa hivi ni kuwa na dalili zingine ambazo zinanitisha zaidi

Moja ya hizo dalili ni kama ifuatavyo

*Uchovu kupita kiasi.

*Ganzi na mwili kukosa nguvu (sometimes huwa mikono inatetemeka kama nikifanya baadhi ya mazoezi au kazi fulani).

*maumivu ya mgongo karibu na kiuno.

*maumivu ya tumbo yasiyokwisha chini ya kitovu na kwenye chembe za mbavu.

Hofu yangu ni kuwa nimeshaathirika mpaka kwenye figo. Je, ninaweza kupona tatizo hili au mimi ndo basi tena?
 

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
430
500
Nenda kwa matabibu wataalam wa mfumo wa haja ndogo (Urologists), mwenzio nilisumbuliwa na UTI sugu pia.

Sema mie ni mwepesi sana kukimbilia wataalam, pima vipimo vyoteikiwano PSA nikagundulika tezidume inaanza!

Nikaitibu na nishakuwa fresh kabisa sasa!
Gharama zake zikoje mkuu
 

valet de chambre

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
520
500
Hello! JF Doctors

Ninasumbuliwa na U.T.I almost miaka mitano sasa nimetumia dawa mbalimbali lakini hali ikawa inajirudia untill now Nina hili tatizo, Lakini kitu kinachoniogipesha sasa hivi ni kuwa na dalili zingine ambazo zinanitisha zaidi...
Nenda kamuone mtaalamu katika hospitali yoyote kubwa aitwaye Urologist. Atakusimamia na kukusanya hatma ya figo zako mkuu.
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,515
2,000
Hello! JF Doctors

Ninasumbuliwa na U.T.I almost miaka mitano sasa nimetumia dawa mbalimbali lakini hali ikawa inajirudia untill now Nina hili tatizo, Lakini kitu kinachoniogipesha sasa hivi ni kuwa na dalili zingine ambazo zinanitisha zaidi...
Mkuu pole sana kwa hizzo dalili ulizo kuwa nazo inaonyesha Figo lako halifanyi kazi sawa nenda kapime haraka Hospitali Mkojo na figo lako kisha nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona maradhi yako na pia kunywa maji mengi kwa siku kunywa maji lita4.

Ili kılifanya figo lako lipate kufanya kazi vizuri. Ukitaka matibabu toka kwangu nitafute kwa wakati wako uguwa pole Mkuu. Ukiwa na Shida yoyote ileUsipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukinihitaji matibabu yangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu What's App +447459370172
 

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
430
500
Mkuu pole sana kwa hizzo dalili ulizo kuwa nazo inaonyesha Figo lako halifanyi kazi sawa nenda kapime haraak Hospitali Mkojo na figo lako kisha nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona maradhi yako na pia kunywa maji mengi kwa siku kunywa maji lita4. Ili kılifanya figo lako lipate kufanya kazi vizuri. Ukitaka amtibabu toka kwangu nitafute kwa wakati wako uguwapole Mkuu. Ukiwa na Shida yoyote ileUsipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukinihitaji matibabu yangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu What's App +447459370172
Sawa mkuu....nimesave namba I'll check u
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom