Recent content by Princekyoma

  1. Princekyoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpende mkeo hawala hana shukrani

    Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
  2. Princekyoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anajichua

    Fanya two in one,pump wakat uo uo unasugua kisim
  3. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada anayefahamu bei ya beef fillet

    Waefeso 4:29 (SUV) 🔹 Maana: Paulo anahimiza waumini waache kusema maneno mabaya (ikiwa ni pamoja na matusi) na badala yake wazungumze maneno ya kujenga.
  4. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada anayefahamu bei ya beef fillet

    Beef fillet ni sehemu ya nyama ya ng’ombe ambayo inajulikana kwa kuwa laini sana, isiyo na mafuta mengi, na yenye ubora wa juu. 📌 Maelezo kwa ufupi: Beef fillethuitwa pia: Tenderloin (kwa Kiingereza rasmi) Fillet mignon (kipande kidogo cha tenderloin, hasa sehemu ya mbele) Ipo katika...
  5. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada anayefahamu bei ya beef fillet

    Exactly
  6. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada anayefahamu bei ya beef fillet

    Hapa Tanzania, bei ya beef fillet ni takribani TZS 32,500 kwa kilo, kulingana na ChapMart ambapo inapatikana katika Shoppers Supermarket – Mbezi Beach, Dar es Salaam . Mahali Unapakua Beef Fillet Shoppers Supermarket – Mbezi Beach, Dar es Salaam: Hapa unaweza kupata beef fillet kwa mara...
  7. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Habari wanajf

    Hujajibu swali bali umekwepa swali
  8. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Asante kwa ukurasa huu,kuna mwenzangu anauliza et ajira zakujitolea zilizotangazwa na Tamisemi zinatoka lini?Naomba kuwasilisha
  9. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Habari wanajf

    Kuna mtu anauliza eti ajira za kujitolea kupitia Tamisemi zinatoka lini?naomba kuwasilisha🙏🏽
  10. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Utapiga kura mwaka huu?

    Kura ni Siri yako
  11. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Shirikisho ni kombe gumu na lenye mvuto kuliko klabu bingwa

    Povu Hilo🤣
  12. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Economics Anahitajika

    Anakuja soon
  13. Princekyoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

    Kuzaa na mwanamke sio sabb ya msingi ya ww kuwa mme wake
  14. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Ni mtandao gani unaozuia maudhui ya ngono na mapenzi ya jinsia moja?

    Hicho ndo kilinifanya niamie huku jf na nina mwaka sasa tangu nitoke x_twitter,fb,insta na telegram
Back
Top Bottom