Recent content by prince4real

  1. prince4real

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa DSM, Matamko yako ni mengi utekelezaji hakuna

    Sukari aliyofichwa kaipata?
  2. prince4real

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

    I wish iwe kesho UKUTA tupo tayari kwa lolote wabomoe wasibomoe sisi tunaandamana dunia ione tumeichoka ccm na madikteta uchwara
  3. prince4real

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo gari linalotumiwa na Rais wa Marekani

    Wanamaana yao i guess bcoz haijaitwa angel
  4. prince4real

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo gari linalotumiwa na Rais wa Marekani

    Ile sio gari inaitwa beast
  5. prince4real

    JamiiForums Tanzania Nape: Chombo cha Habari kitakachoripoti habari ya kichochezi kitahesabiwa kuhusika na uchochezi

    Zitto kabwe aliona mbali sana
  6. prince4real

    JamiiForums Tanzania Waandishi ombeni kufanya interview na Rais Magufuli

    Ntakua mwandisha the same day aisee nimepania sana kitu kama hiyo we r soo tired na magufuli its time aanze kutujibu kazi tulompa veepee
  7. prince4real

    JamiiForums Tanzania Chadema/ukuta

    Hakuna anaetaka hata kumsikia abaki kimya mpaka 2020
  8. prince4real

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu baada ya Kisutu, atarejeshwa Singida kwa mashtaka mengine ya uchochezi

    Wana kazi sana ccm mzizi umeoza wanajaribu kuremba matawi ccm is done its gone na kumpa huyu jamaaa usukani wametulainishia kazi polisi kuingilia wanetuonyesha pakuanzia kuwaporomosha time is now ukuta utaanza leo kisutu
  9. prince4real

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, hawa watu wanakugombanisha na Israel

    Why do u care about israel anyway wakati mwanao atakuuliza why ulimpigia kura magufuli?
  10. prince4real

    JamiiForums Tanzania Ben saanane: UKUTA uanze kujengwa kwako na Patna wako

    Hamna dictator duniani hajatumia hayo uloyataja but still waneshindwa na kukimbizwa na hayo uloyataja its better to wake up once and try than to sleep like a fool thru a lalabye
  11. prince4real

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu baada ya Kisutu, atarejeshwa Singida kwa mashtaka mengine ya uchochezi

    Nahisi polisi ndo wananyooka tundu lissu atayazungumza yale yale leo mchana au la sivyo UKUTA utanzia kisutu sikubya leo....we r soo done na upuzi wa polisi
  12. prince4real

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu baada ya Kisutu, atarejeshwa Singida kwa mashtaka mengine ya uchochezi

    Unahisi anashughulikiwa au anawashughulisha?
  13. prince4real

    JamiiForums Tanzania Polisi wamnyima dhamana Tundu Lissu, waandishi wa habari watimuliwa

    Hii itakua ni yakututoa kwenye dhiki na udikteta na kutuletea uhuru na haki zetu UKUTA MPAKA DAMU YA MWISHO
  14. prince4real

    JamiiForums Tanzania Polisi wamnyima dhamana Tundu Lissu, waandishi wa habari watimuliwa

    Umekua mgeni kwenye nchi yako kwanza anakosa gani mpaka akamatwe?ukimtaja mailaika kiongozi different from praising him ni kuchochea but ukuta ndo umezidi kupata nguvu polisi watanyanyua mikono tu tupo million sita upinzani na am sure by now tumeongezeka time will tell in fews weeks to come
  15. prince4real

    JamiiForums Tanzania Magufuli kama wewe ni jasiri, tangaza hali ya hatari, katiba inakuruhusu!

    I believe unaishi ikulu sio tanzania au unaundugu na jamaa wa rwanda sio kwa upofu huu na tasteless comment
Back
Top Bottom