Chama cha demokrasia na Maendeleo kimekuwa na kitaendelea kuwa tishio kwa Mafisadi na wauza unga kwa kuwa kina mikakati madhubuti ya kupambana nao. Mafisadi na wauza unga sio watanzania wa kawaida (wenye kipato cha chini au elimu ndogo). Hawa ni watu wenye kipato kikubwa, wengine wasomi na wengi...
Ushauri mara nyingi hulenga faida na hasara za tabia, je ulevi wake una faida (ni zipi), una hasara (ni zipi)...haipo faida ya ulevi kijamii katika ngazi ya familia, je ulevi wake unaisaidia familia? Unainua uchumi wake? Ulevi wake unajenga ndoa yake? Unasaidia watoto kwenda shule? Ulevi wake...
mmmmmmmh, mazito...mi najidanganya kwamba mmeo au mkeo ndio rafiki wa kwanza duniani, unashindwaje kumwambia wazi mpaka utumie vitendo vitendo wakati maneno ni rahisi kuliko vitendo?...
Nie wake zetu eti wengine mnajihisi eti kumwambia live ni kujipendekeza....mkitoroka kwenye ndoa mkakapta...
Chukulianeni mizigo, jitahidi mzee uwe unarudia kapili, kamoja kanawasha tu basi anabakia na kimuhemuhe bado..au huwa una funga goli kwa penalty (yaani sekunde mzigo unashuka), anza goli hadi goli lingine kwa kutumia pasi za kutosha...then weka goli...
Pombe, pombe...hii lifestyle ya mtu na kuachana na pombe ni dhamila ya mmiliki wa tabia, kuacha lifestyle kwa dawa sio permanent solution. Dawa ya mtu huyo ni kumjenga kwa ushauri wa pande zote mbili ndg wa upande wake na ule wa mke, marafiki nao wamshauri na mke asi intertain tabia ya mme...
Wandugu Masanja, watu walio na abnormalities kwa papuchi hawana raha maishani, ushauri wako ni mzuri ila faham kwamba siku hizi hakuna mwanamke mwenye papuch ndogo kama mdomo wa chupa ya soda, karb wote ni mdomo wa pipa...teh..teeeeh teh..hata wao wanajua hilo. Kilichopo ni kumjenga saikolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.