Recent content by Prince mrema

  1. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Matangazo

    Wadau hivi nawezaje kuzuia matangazo wakati nipo mtandaoni au kwenye app flan kuna matangazo yanapita sana yanakera af unashindwa kufanya kitu.
  2. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata nakala ya Kitambulisho cha NIDA

    Waliniambia bado
  3. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata nakala ya Kitambulisho cha NIDA

    Habari wadau, Najua huku kuna wataalamu wengi, naomben msaada kujua ni jinsi gani ya kupata nakala ID ya kitambulisho changu cha NIDA.
  4. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Kamari online

    Wadau naomba kujua app ya kucheza dubu online nipige pesa
  5. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

    Mtu akipost ujinga ndo utaona anapata like nyngi
  6. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

    Hapana mkuu kuna boda boda walikua wanabishana ikabidi nilete uku
  7. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

    Habari wakuu, Kumekuwa na kauli ya kusema kuwa uendeshaji wa pikipiki kupakia mshkaki au kubeba mizigo na kujikuta umekalia tenki humaliza nguvu za kiume, hii ni kweli? Wataalamu embu toeni jibu
  8. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Mkopo mtandaoni

    App yao haipo playstore
  9. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Mkopo mtandaoni

    Hii unaambiwa jarib baada ya siku 7.. Xku xaba zkipita unaambiwa ivo ivo
  10. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Mkopo mtandaoni

    Ha ha haaaa
  11. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Mkopo mtandaoni

    Habari wakuu. Kumekuwa na apps nying mtandaon za mikopo ambazo nyingi ni za uongo.. Naomben kujua ni app gan inayotoa mkopo bila ubabaishaj
  12. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Mdaiwa anafungwa?

    Jinga sana.hiyo siyo kauli.
  13. Prince mrema

    JamiiForums Tanzania Mdaiwa anafungwa?

    Sina
Back
Top Bottom