Recent content by Prince Moola

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta perfume OG ya kike. Bajeti 50k

    Kwapesa iyo huwezi kupata
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apple wanarudi walipotoka Android

    Watu wa android wajua kujifariji.
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kweli Nabi kakataa Fei Toto kurudi kambini, yuko sahihi

    Fei toto mkubwa kuliko yanga uyo mzee atulie.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

    Kwani walilazimishwa kenda?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

    Hii nchi ni yamaajabu kweli, kwani kudai haki yako mpaka asemewe na wanasiasa? shida sio wanasiasa na wanaharakati shida wananchi wengi hawajitambui hawajui haki zao na waoga.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Onesha kosa moja la Kafulila nami nioneshe makosa 10 ya January Makamba

    Huwezijua pengine anataka kupewa nafasi kubwa zaidi.
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ole Mushi: Tuna kina Matola wangapi?

    Wakulaumiwa nimakocha wazawa hawataki kusoma nakuongeza ujuzi na vyeti.
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: 63" Hisense Vs 55" Samsung

    Sio nzuri nmenunua mwaka haujaisha imeharibika, ninayo samsung saivi mwaka wa 13 bado unadunda.
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: 63" Hisense Vs 55" Samsung

    Chukua samsung tu ila iwe original.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hapa umekosea sana, ‘contractors bashing’ unaifanya sehemu ya siasa

    Hii nchi ndomana haiendelei kwakutetea uzembe kama huu, mkandarasi kashachukua pesa lakini kazi hafanyi kama walivokubaliana mnataka bado achekewe tu? wakandarasi kama hawa ndomana miradi mingi inakufa watuwanaishia kupiga hela tu, Hongera rais Mwinyi kazia hapohapo ili iwe funzo kwawengine.
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mmeshamaliza hesabu zenu sasa tulieni Wanamume wamalize na Makombora yao Matatu tu Matakatifu

    Kwakweli hii simba inatia huruma sana bora wakumuangikie tu mhindi awasamehe.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Kama kweli nyie niwazalendo kwann msinunue kwabei nzuri kuliko wakenya ili mazao yabaki hapapa tanzania.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Kuliko mie au kuliko wewe?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Sasa kwann wakenya waweze kununua kwabei nzuri lakini watanzania washindwe?
Back
Top Bottom