una
unajua huyu jamaa aliyeleta hii mada hata simwelewi kabisa, sijui hajawahi tembea au? hivi kuna nchi gani afrika mashariki na kati ambayo ina miji mingi iliyoendelea na kuchangamka kama Tanzania...Kenya ni Nairobi na Mombasa tu, Uganda ni Kampala tu, Rwanda ni Kigali, Burundi ni Bunjumbura...
balozi sio kwa ajili ya wazungu ni kwa ajili yako wewe upate visa kwenda kwao....kwa hiyo unataka kusema wazungu wanakuja Dar kutazama balozi zao? wewe jamaa vipi wewe?!!!!!...ungetafakari kidogo ungeelewa naposema destination namaanisha nini...
uzuri wa Dar ni upi? maghorofa na daraja la Kigamboni au?? we vipi?...hujiulizi kwa nini hata wazungu ambao tunasema wameendelea hiyo Dar siyo destination yao?!!!!
Kitendo cha Nyerere na Karume kuunganisha nchi mbili kilikua kitendo cha kishujaa kabisa na kinachostahili pongezi au wewe hulioni hilo?? au wewe ni wale wapinga muungano?
Wazee wa jukwaa habarini.
Nilikua najaribu kujiuliza kuwa, katika maofisi mbalimbali ya serikali na binafsi huwa kunakua na picha ya baba wa taifa na picha ya rais aliyepo madarakani. Sasa nilitaka kujua, kama waasisi wa muungano ni Mzee Nyerere na Mzee Karume, hakuna haja ya uongeza picha ya...
ha ha ha kweli kuna baadhi ya mambo yananifanya niwakubali sana watanzania!!.....its serious, hakuna haja kabisa ya kuweka issue nyeti kama hiyo mitandaoni
nafikiri hujasikiliza vizuri wamesema ni trilioni 1 na bilioni 32 sasa hiyo ni sawa na tril 1.032 ingekuwa wamekusanya tril 1 na bilioni mia tatu ningekuelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.