Recent content by Prince mimi

  1. Prince mimi

    Makanisa ya Kilokole yana shida kubwa sana

    TAG,EAGT mbona yako poa tu au wewe umefananisha na makanisa ya kiboko ya wachawo
  2. Prince mimi

    KERO Wawekezaji UTT Amis hatuwezi kuuza vipande vyetu wala kuona taarifa zetu kupitia application mwezi wa pili sasa

    Application mpya ya UTT haitaki VPN mzee, tangia waiupdate. Ukitaka kutumia sharti washa data ila zima VPN ndo itafunguka.
  3. Prince mimi

    Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    nimewahi kutumia subaru SH5 kwa miaka 4 bila shida yeyote, ni gari nzuri sana.
  4. Prince mimi

    Matthew 26:56 “Kisha wanafunzi wote walimwacha na kukimbia.”

    Atleast hakuna mtu aliyelawiti mtoto wa miaka 9 kwa ahadi hewa za mabikira siku ya kihama
  5. Prince mimi

    CHADEMA yatajwa kuwa Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania

    Yes indeed, CHADEMA ni chama Kikuu cha Siasa nchini. Nakipenda sana hiki chama till end, Shime vyombo vya usalama viunge mkono CHADEMA kwani ndiyo tumaini pekee lilobaki nchini.
  6. Prince mimi

    Huenda hizi ndizo baadhi ya sababu zilizowafanya gen z wa Tanzania kuyagomea na kuyapuuza maandamano ya haramu ya Dec.09

    Maandamano yenye kibali ndiyo yapi? Art20 ya Katiba ya Nchi imeruhusu maandamano, Sheria ya polisi jamii imetaka muandamanaji kutoa notice (Taarifa) within 48 hours. Notice ni taarifa sio kibali, kibali ni permit.. sheria imelekeza kutolewa notice. Usipotoa notice haitazuiliwa ila utakosa...
  7. Prince mimi

    Nini hasa lengo la hii Press ya Fr. Kitima siku ya leo?

    Kasome Ibara ya 18 ya Katiba, acha kulialia juu ya uhuru wa maoni wa wanaume wenzako.
  8. Prince mimi

    PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Maandamano ya kenya yaliuwa watu wengi kulioo mauaji ya Tanganyika? Regather your facts bro
  9. Prince mimi

    Waandamanaji kulipwa si kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo

    Upo sahihi Article 20 (i) ya CURT (Katiba ya jamhuri) imetoa provision ya haki ya kukusanyika, kuandamana kwa amani. Hivyo haki hii imetolewa freely bila pre condition yoyote. Police wao wanatumia sheria ya polisi na polisi jamii (Police force & Auxiliary services Act) ili kuzuia maandamano kwa...
  10. Prince mimi

    Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

    Itakuwa huyu larry madowo kauwa vijana wengi sana oct. 29.
Back
Top Bottom