Recent content by Prince Mbega

  1. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Bongo itakua mbele

    [emoji109]
  2. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

    Nko makini shida aina za mbegu
  3. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Bongo itakua mbele

    Npo saaana 2
  4. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Bongo itakua mbele

    Nimefrah
  5. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

    Nataka nilime mahindi ila nahofia kuangamiza pesa. Je, nipande mbegu gani iliyo bora kwa kipato kingi?
  6. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Bongo itakua mbele

    Kwa style ya raisi wetu pamoja na viongozi wake anamipango endelevu ambayo itafanya nchi yetu ipige hatua zaidi kiuchumi endelea kudumisha vilivyotokomezwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  7. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Bet na ujishindie mapene

    Acha woga
  8. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Bet na ujishindie mapene

    1. Wolfsburg win 2. Ac Milan win Fata utabiri wangu wa leo
  9. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Wachumi tusaidieni, Mtaani hali ngumu fedha hakuna biashara imekuwa ngumu. Pesa iko wapi?

    Baada ya kumpa madalaka sasa hivi pesa kila kona "not available".wananchi wanatafuta kutwa hamna cha kupata. Cha ajabu pesa haipatikani ovyo lakini haina thamani vitu viko juu! Au kuna mpango mbadala unaofanyika juu ya pesa?
  10. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Nani Muungwana atakaenisaidia kupata namba ya producer yoyote mkali hapa TZD.

    Ni matumaini yangu kwamba wapo watu wanaowafahamu maproducer au marafiki ambao wanakaa jirani nao. Lengo ni kupata mawasiliano nae producer yoyote yule Kama unamfahamu basi nijuze kupitia 0625671346 au 0764948719
  11. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kuimba na kuigiza lakini! Sijui pakupitia naombeni msaada

    Nimehangaika sana! Kupata njia ya kupitia na kutamburisha sanaa yangu katika jamii lakini hatima yake bado ni zero. Nimeona ni bora nitume ujumbe wangu walau kama kuna mwenye idea au hata company basi aniboost! Katika kuhakikisha napata chance.
  12. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Wadau ajira imekuwa adimu kama maji jangwani! Sasa tunasoma ili tuje tufanye nini? Wakati nafasi za kazi adimu. Jamani tujuzane!
  13. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Nchi ina mali lakini maskini. Uchumi bado unadag hakuna ukombozi. Viongozi wapo lakini wengi wao wapo kimaslahi. Je cc wanajamii tutaishije?
  14. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania The English of the Tanzanian President Magufuli

    Mmmmmmh
  15. Prince Mbega

    JamiiForums Tanzania Kwa Wachagga tu

    Napitaaaaa , 👫
Back
Top Bottom