kwan kahamasisha? kasema ikipimwa basi iuzwe... sasa unafikiri kuna kilichipimwa kikawa kibaya? sawa ni kirasimishwe... angalia konyagi ina alcohol parcent kubwa lakin inauzwa! swala ni kuwa hapo nyuma gongo ilikuwa haipimwi inauzwa kiholela hvyo watu wanakunywa bila kujua inakias gan cha kilevi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.