Hugo jamaa (scorpion) inaonekana yeye ni mtetezi wa haki za wananchi wa buguruni hasa kupambana na vibaka na hilo tukio ni kama ilikuwa ktk kupambana na uharifu. Let him be free plz!![emoji35]
Tuwe na ubinadamu jamani mtu akifanya kizur tumsifie yaani kilakitu tunaponda tu kweli duh kweli watanzania tunashida, mtu akikaa oficn shida akitoka shida sasa mnataka aongoze vp!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.