Recent content by prince Albert

  1. P

    Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    Ilaani ya ccm ina sema kila kata itakuwa na kituo cha afya
  2. P

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Weka vyeti vyako mtandaoni tuone ndio acha mambo ya Mungu
  3. P

    Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

    Viongozi wa dini walio wengi wanapenda waonekane wazuri serikalini bila kuangalia watu wanaumia vipi,watanzania wangapi wanapanda ndege hadi uwe kigezo cha kusema Maisha yamekuwa mszuri,
  4. P

    Wakoloni walituletea dini kama kinga kwao ili watutawale

    Tuko pamoja,mie ni muumini wa mawazo hayo pia naamini hakuna Maisha baada ya kufa
  5. P

    Mhitimu wa degree ya sheria auza mihogo baada ya kukosa ajira

    Ungesomea upishi badala degree ya sheria kuuza mihogo ni hasara
  6. P

    Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Wewe unaishi tabora Maisha yako yote toka unazaliwa hata hadithi hadithi za chatu hujawai sikia kumbuka mkoa tabora ndio unaongoza Kwa nyoka
  7. P

    Vyoo vya stendi ya Mbezi havina ndoo za maji

    Tahadhari Kwa watumia choo za Mbezi hazina ndoo unaweza subiri hata nusu saa wakati wakizitumia bafuni Kwa kuoga,yamenikuta Leo na mhudumu hakusikilizi zaidi ya kutaka chake 300/=nawakilisha
  8. P

    Swali la Kiuchumi: Ufisadi Unaweza Kuchangia Ukuaji wa Uchumi?

    Chanzo cha ufisadi ni udhaifu wa uongozi ulioko madarakani,na kushuka kwa uchumi ni mikakati mibovu ya iliyopo,
  9. P

    Mdororo wa Uchumi: Landmark Hotels zabadilishwa kuwa hostel

    Mzee gharama ya landmark 70,000 per day
  10. P

    Nyumba unauzwa tabata magengeni

    Typing errors
Back
Top Bottom