prince Albert
Member
- Jun 6, 2016
- 42
- 9
Tahadhari Kwa watumia choo za Mbezi hazina ndoo unaweza subiri hata nusu saa wakati wakizitumia bafuni Kwa kuoga,yamenikuta Leo na mhudumu hakusikilizi zaidi ya kutaka chake 300/=nawakilisha
300 au 500?Tahadhari Kwa watumia choo za Mbezi hazina ndoo unaweza subiri hata nusu saa wakati wakizitumia bafuni Kwa kuoga,yamenikuta Leo na mhudumu hakusikilizi zaidi ya kutaka chake 300/=nawakilisha
Pole sana mkuu inaonyesha ulitaka kunya kwa kukosa maji ukaacha wakati haja imekubanaTahadhari Kwa watumia choo za Mbezi hazina ndoo unaweza subiri hata nusu saa wakati wakizitumia bafuni Kwa kuoga,yamenikuta Leo na mhudumu hakusikilizi zaidi ya kutaka chake 300/=nawakilisha
Labuda alikuwa na kiu sanaUlikua unafanya nn huko chooni?
Hamna bhana alibanwa na kiuUwe unakunya kwako
Standi ipi[emoji15] [emoji15]hivi kuna watu huwa mnakunya kwenye hivi vyoo vya stand?
Mbezi choo tsh500/= sio 300Tahadhari Kwa watumia choo za Mbezi hazina ndoo unaweza subiri hata nusu saa wakati wakizitumia bafuni Kwa kuoga,yamenikuta Leo na mhudumu hakusikilizi zaidi ya kutaka chake 300/=nawakilisha
Kunya tu hata kulana watu wanakulanahivi kuna watu huwa mnakunya kwenye hivi vyoo vya stand?