Mie kulia nataka, kucheka nataka. We bidada ulikuwa unatafuta majanga makubwa bila kujua. Mapenzi ni kitu cha hatari sana maana huwezi kujua moyoni kwa mtu amefika kiasi gani kwako, na hasira zake zaweza kufika wapi ama kumtuma afanye nini. Watu wanamiliki silaha za moto kama shati tu, hata...
"Fedha na mali ni urithi mtu hupewa na babaye, lakini MKE mwema atoka kwa BWANA" Ndugu muombe Mungu akuoneshe alie sahihi kwako maana unaweza kumpata mwenye mlolongo wa sifa ulizotaja, lakini ndani mkawa hamuelewani kabisaaaaaa, yaani paka na chui.
Ndugu, inaweza kuwa ngumu kumpata mwaminifu. Lakini inawezakana ukamchukua aisiye mwaminifu na ukamfanya kuwa mwaminifu. Remember: True love does not come by getting the perfect partner,but by learning to see the perfectness into imperfect one.
Kwa mtazamo wangu, kwa jinsi ilivyotokea inaonesha Mushi alikuwa mtu wa matukio. Yaani yawezekana ameshawahi kufanya mambo mengine mabaya. Ogopa sana sana mtu ambaye kila mara anapokuwa na tatizo ama makwazo,suluhisho lalke ni kufanya maangamizi. Kama wanavyosema kuwa sometimes back...
Kwa kweli hili suala ni pasua kichwa japo tumesikia kwa upande mmoja, Ila nashawishika kuamini ndivyo maana si rahisi mwanamume aanzishe gubu ndani ya nyumba halafu aje kutaka ushauri. Inaonekana alimpenda na hakutaka kuhangaika tena na wengine, lakini huyu bibie aliolewa kabla hajayaona...
Doh! Huyu dada mwenzangu sasa anataka kumchokoza Mungu. Wakati unapokuwa na shida nzito na mbele unaona giza, then unapata msaada usioutegemea jua kuwa ni Mungu. Mungu huinua watu wa kukupa msaada pale unapohitaji. Sasa ni jukumu lake na yeye kumsaidia jamaa ili anyanyuke, abadilike na kuwa yule...
Wewe naona hujatulia. Unachukua katoto ili kasiwe na say kwenye suala zima lauhusiano. Unakaongopea uko kazini wakati unavinjari sehemu, kanaamini na kusema "miss you daddy". weweeeeeeeeeeee, funguka moyo! badili tabia
Ndugu, Kitu cha msingi nionacho mimi kwanza ni tabia yake. Upendo heshima na uelewa wake. Baada ya hapo kazi inafuata na hata hivyo sio static. Kama ukimuoa msusi lakini hupendi aendelee kusuka, shaurianeni, muwezeshe ashift kwenye business nyingine. That is me!
Well, reaction lazima ingekuwepo hasa kwa vile unamzungumzia mwanamke mwenzake.
Lakini kimsingi haikutakiwa kudumu, hadi kufikia hatua ya kubembelezwa na bado anaweka msimamo wa kununa. Naamini hayo yalikuwa ni mazungumzo tu na comments katika story hata yeye angaliweza ku comment namna hiyo...
Well, urefu, umri, na size ya kiuno sio sifa za msingi zinazomfanya mtu akubalike ama asikubalike.
Kuna mambo mengi ya msingi.
Watu mkifahamiana tabia ndo inamaga zaidi, na haya mengine inakuwa ni added advantage.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.