Mbilimbili
Senior Member
- Mar 17, 2012
- 172
- 19
- Thread starter
- #21
Kwani bar ni ya kwake?
Barmaid atakufaa zaidi,hasa ukiwa chapombe!
Barmaid atakufaa zaidi,hasa ukiwa chapombe!
Oa fundi wa kushona ili upunguze gharama za nguo!!
Habari za hapa ndani wadau, katika kuchagua mchumba je ni yupi kati ya wanaofanya kazi hizi ukioa hakutakuwa na shida?
1:Bar maid
2:Mwalimu
3:Msusi
4:Secretary
5:Fundi wa kushona
NB: NAMBA TATU NDIO TUKO KWENYE MAHUSIANO KWA SASA.
ukisema umpende mwanamke kwa sababu ya kazi yake..hizo kazi hapo juu sitakua na amani hata moja wapo...so ka umempeda ni bora kufunga macho tu na kuamua kuchukua mzigo...lakini bora yote lakini bar maid mh...hapo huna mke hapo
Kama sifa zingine zikiwa constant, go for mwalimu. Ni wavumilivu sana na huwa walezi wazuri wa watoto.
muoe huyo msusi,cha kuzingati ni tabia aliyonayo.
Habari za hapa ndani wadau, katika kuchagua mchumba je ni yupi kati ya wanaofanya kazi hizi ukioa hakutakuwa na shida?
1:Bar maid
2:Mwalimu
3:Msusi
4:Secretary
5:Fundi wa kushona
NB: NAMBA TATU NDIO TUKO KWENYE MAHUSIANO KWA SASA.
...basi tafuta Rais.