Wadada tu ndoo wachangie hii hoja

kwanini wengine huwa wanawahangisha wanaume kwa muda mrefu bila kuwapa majibu mapema kama alishamridhia moyoni mwake?

Labda ni kumjua mwanaume zaidi kitabia, lakini pia ni kutokuonekana maharage ya mbeya.
 
Mkaa wamepiga marfuku kuchoma, gesi bei juu, umeme ndio haushikiki wala hauaminiki.

Happly harage la mbeya, jimaji kombe moja tu mtu anapata msosi.

Una mambo Kongosho.........nimechekaje....!
 
Kwa mazingira ya sasa hivi wanawake ni vigeugeu tu. Mambo ya sitaki nataka sa hivi wapi na wapi wakati vipoozeo vipo kibao tu! Akisema wa nini, kuna wengine wanatumezea mate.
 
Kwa mazingira ya sasa hivi wanawake ni vigeugeu tu. Mambo ya sitaki nataka sa hivi wapi na wapi wakati vipoozeo vipo kibao tu! Akisema wa nini, kuna wengine wanatumezea mate.

wanatumezea mate na ni vigumu kwa wao kutuambia waziwazi.
 
usually.....women do not mean what they say....ukilijua hilo huwezi shangaaa...kwa hiyo hata huyo aliyekukubali hajamaanisha ni kwamba hajapata right candidate siku ukimwagwa usishangae.....
Smarty labda utumie some women kwani una exceptions. yeye kamuapproach mdada na kuomba wafanye matusi mdada kamkatalia what do you think? mdada anaakili sana unless kama hajajieleza vzuri. na pia anapokuja kumwambia kuwa friends nategemea angekuwa na positive mind zaid manake mchezo wa matusi upo tu na waja wenyewe wala huombi.
 
Last edited by a moderator:
wadada wengi ni sitaki nataka. Kinywani anatamka no na rohoni yes.

mkuu siku hizi wengi hawako hivo,haya maSMS,bbm,skype etc yanasaidia watu kufunguka kirahisi,hivi hata humu jf (hata kama vingi ni vya fake) huoni kina mama wanavyofunguka? halafu ujue vingine humu jf ni vya kweli.
 
Naomba mbegu moja ya mtoto, una akili sana nadhani hata yeye atarithi

mkuu siku hizi wengi hawako hivo,haya maSMS,bbm,skype etc yanasaidia watu kufunguka kirahisi,hivi hata humu jf (hata kama vingi ni vya fake) huoni kina mama wanavyofunguka? halafu ujue vingine humu jf ni vya kweli.
 
I think may be aproaching style yako haikumpendeza. Ulimtaka ikashindikana ndo una initiate urafiki wa kawaida. Lakini alikuwa nainterest
 
Waswahili husema wewe unasema wanini mwenzio pembeni anasema nimpate lini huyu bwana du hii ndio maisha bana !
 
Sasa yule aliyesema NO anaposikia au kukuona na aliyekukubalia panachimbika. Sasa najiuliza unapomkatalia mtu hutaki akubaliwe na mtu yeyote?

Kabla sijachangia hoja, Hv Nyamaume akiingia choo cha kike haiwezi kukojoa? Nimeamua kwa makusudi kabsa kuingia choo cha kike kukojoa. Kwanza hiki kikojoleo ni kwa ajili ya wanawake kwa hiyo kuingia chooni kwao ni kuwarudishia mali zao!

Shule ya nini wewe Bana! Hakuna kosa kubwa ambalo baadhi ya wanaume wanakosea ni kukataa kutongozwa na wanawake. Kwa sababu Bazazi ni Nyamaume mipira inayozagaazagaa (loose ball) lazima nifunge bao la sifa. Chapa mzigo wewe Mpitagwa acha kuzubaa. Rudisha heshima, Jenga Nidhamu na Adabu.

Bazazi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom