Recent content by prijuro

  1. prijuro

    JamiiForums Tanzania Ukinunua tu iPhone 7 basi umejifukuzisha kazi mwenyewe

    Duuuuuuuuuhhh wachina kiboko ije bongo hii sheria mbn itakua kazi mshahara 150,000 simu ya1,500,000
  2. prijuro

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

    Kama ww hupendi mjulishe mhusika, ila wapo wengine hiyo ni amri kwa mkewe lazima apate salam hy kutoka kwa mke
  3. prijuro

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kazi za ndani

    Mmmmh ngoja waje
  4. prijuro

    JamiiForums Tanzania Alinipiga mpaka kuniharibu kizazi kisha akaniacha kwasababu siwezi kuzaa

    Duuuuuh inauma jaman pole mdogi angu bora umekiri kumuachia Mungu amini atakusaidi na kukusimamia
  5. prijuro

    JamiiForums Tanzania Hodi, mgeni wenu nahitaji mwenza wa maisha

    Mmmmmh haya mimi nipo kaka angu lkn ishazaa nimefunga na uzazi au ww wataka ambaye hajawahi kubeba mimba kabisa
  6. prijuro

    JamiiForums Tanzania Nabii Frank Kilawah acha kudanganya watu

    Ni kweli kabisa anakula mboko za kufa alone kuigiza movie kanisani
Back
Top Bottom