Natafuta mwanamke wa kazi za ndani

Natafuta mwanamke wa kazi za ndani

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,067
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,

Mimi natafuta mwanamke wa shughuli zetu za ndani. Pindi dada yake atakapokuwa hayupo basi huyu mwanamke wa kazi atashughulika kwa shughuli za ndani kwetu. Awe mstaarabu na asiwe ana sema mambo yetu nje ili kulinda usalama wetu.
 
Taja mshahara mkuuu
Pia je kazi hiyo ni day au ?
 
Kuna msichana mwingine hapa yuko tayari kwa kazi hiyo, kama kuna MTU anahtaji ani PM
 
Back
Top Bottom