Recent content by prickle

  1. prickle

    Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

    [emoji23][emoji23][emoji23]watajijua wenyeweeee lazima ukubali kuliwa si umetaka cha bureeee kaka
  2. prickle

    Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

    Kaka huwezi kujikinga hata kama ukitumia paid version watu wakitaka data zako wanapata unachotakiwa ni ku minimize risk lakini sio kuzia kabisa hii ni kutokana Data Attack inaweza kutokea kwenye Network vurnelbilty, OS vurnebilty , App vunerbility, Hardware vurnwbility Mfano- hardware...
  3. prickle

    Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

    Hivi vitu vinahitaji uwe na hobbie navyo nilijaribu lakin mwish wa siku nilishindwa ku balance muda ukirudi homenumechoka na majukum mengine ndo ikawa mwisho wangu
  4. prickle

    Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

    Safi kabisa...Watu wanachanganya terminology mkuu au unaweza kuiita "Reverse Engineering" kitaalamu zaidi Sio cracker anaweza kuwa hacker na sio kila hacker anaweza kuwa cracker
  5. prickle

    Natafuta rafiki wa kuongea nae kiingereza tu

    Ushauri..! Badala ya kumualika kila mtu DM kwa nini usitengeneze Telegram group alafu invite watu kisha pratice ukiwa kule Advantage yake unaweza kuweka group call mkawa manongea mada tofauti tofauti kwa mda maalum mfano kuanzia saa moja atayekuwa online unaongea nae bila ku leak real identiy...
  6. prickle

    Mwaka 2002 nilitupiwa Majini pale Ilala. Yakaja yakakuta nakula kitimoto

    Ili Kuendelea kusikiliza vichekesho ivi bonyeza *
  7. prickle

    MB au data zinatengenezwa wapi?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo jamaaa anajiiita @CCNP Enginee hii battle ilikuwa atari
  8. prickle

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Nakubaliana na wewe mkuu Ila kwa kuongozea iko hivi muda mwingine haijalishi hata ukitumia VPN mtu anaweza kukutrack itategemea na aina ya VPN unayotumia iwapo utatumia VPN ambayo Ina save logs unapatikan vizuri Tena bila shida hii elimu ya VPN watu wengi hawaifahamu inabidi waielimishwe Mara...
  9. prickle

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Hakunaga kitu Cha bure katika internet iko hivi unapata internet bure Ila info. Zako Zina chukuliwa kwa ajili ya matumizi mengine ambayo ukiiingia darkweb vitu Kam ivyo vinauzwa kitendo Cha ku connect kwenye server it means una alllow permanent backdoor kuwa installed mfano advanced keylogger...
  10. prickle

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Vile mashabiki wa arsenal wakiangalia UEFA
  11. prickle

    Hivi anaetumia id ya mkulima kwenye draft la playok ni nani haswa? Ni jini au?

    Huyu jamaa Ni kipajii aisee nimeangalia game zake Ni Moto anatembeza vichapo [emoji23][emoji23] Atari sasa kila nikiingia playok naenda kuangalia mechi zake tu...! Ashkelon Ni bingwa lakini anatembezewa motoo
  12. prickle

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    allypipi a.k.a pipi kifua uko wapi au bado unalilia chumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia nzima ipo katika maombolezoo Nyumbu amekamatwa na majangili wamemchoma mishikaki[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. prickle

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kipindi hiki Cha kwanza Maguire ameongoza kupiga mipira ya vichwa kuliko hata ya miguuu..!
Back
Top Bottom