Recent content by Priceless soul

  1. Priceless soul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

    Ndoa hazina uzoefu..Na kukaa miaka mingi katika ndoa sio kipimo cha furaha ya familia.Bali kipimo cha uvumilivu tu cha mmoja wapo na sio wote.
  2. Priceless soul

    JamiiForums Tanzania Kunyolewa nywele usiku nikiwa nimelala

    HAHAHHAHHHA unamtisha mkuuuu
  3. Priceless soul

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    kuna jamaa yangu wa karibu, alitoka kwao baada ya kuona wadai wake,wanamfuata hadi kwao kutaka hela zao,hapo anafanya kazi lkn anaishia kukopa kwa mwasibu, akaniambia P.soul mm naenda kujificha na nabadili namba ya simu, sina aman kbs maisha haya.akaendaga wap cjui....huku akiendelea n kazi..10...
  4. Priceless soul

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Mwamposa yanaweza kumsaidia mtu aliyepooza mwili?

    Inafanya kazi vzr sana, ila angalizo. 1.Amini kama Chochote kilichobarikiwa kwa jina La YESU KRISTO( au Jina Mungu) basi nguvu ya Mungu iko ndani yake 2.Mwenye kuamini kama Mungu anaweza basi hayo mafuta yatafanya kazi kubwa ndani ya masaa tu au wiki tyr utakuwa ushasahau matatizo yako. 3.Kabla...
  5. Priceless soul

    JamiiForums Tanzania Kama huna 'Commitment' na kazi uliyonayo, usikimbilie kujiajiri

    Nidhamu sio adabu. adabu kitu kidogo ndani ya nidhamu
  6. Priceless soul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je mwaka huu 2021 ulikuwaje kwako kwenye mahusiano?

    Asante mkuuu
  7. Priceless soul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je mwaka huu 2021 ulikuwaje kwako kwenye mahusiano?

    Nmefilisika,nmeachwa,nmesalitiwa ,nmeona rangi za wanafiki, ila Roho yangu na Nguvu yangu Mungu ameilinda.Natumai nilivyopoteza vitarudi maradufu. {Ahsante Niko hai} 2022 It's not over until I win#
  8. Priceless soul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu gani ya ajabu iliyokufanya uachwe au uache

    Kweli wewe shamkware ,iyo avatar yako mzeee..hahahha
  9. Priceless soul

    JamiiForums Tanzania Utajuaje huyu mwanaume kakupenda?

    Akikupa hela kataa, mwambie tunza beibi, usiombe hela ya kusuka,we jisukie twende kilioni kwa mama Amina jirani yako hapo, na Mheshimu muite baba.[emoji180][emoji16]
  10. Priceless soul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni busara nikimuacha huyu mchumba? Nampenda nipeni ushauri

    Kutofika kileleni,sio ugonjwa. Nature ya mtu,sio kila ke anafika,lkn kila ke anaenjoy sex.
  11. Priceless soul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

    Promotion imepata good response
  12. Priceless soul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

    Cngo mother kaongezwa.inauma sana.,.kaa nae Lea mimba, ajifungue salama..mengine yatafuata, NB: usihukum mapema, Huyo akili yake haijakuwa bado,ukisamehe,uwezekano wa kufanikiwa n mkubwa sana,maana itakuondolea stress za mbeleni utakapopata taarfa za Mara kwa Mara kuhus afya ya mzaz mwenzako.
  13. Priceless soul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu inateketea

    Never give up on your family never.(children). But wife is NOT your blood relative. SO,akitaka kumuacha,onana nae (Ila pambania watoto wako wakue vzr),ili ujihakikishie sababu ya kuachana, alaf kubali kuwa mjinga muachane officially ili asijekusababishia matatizo makubwa mbelen ukapata kilema...
  14. Priceless soul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

    Hahahahahahahahahahahaahahaha if kufarijiana mkuuu
Back
Top Bottom