Ndivyo ilivyo hakuna kuficha tena make kila mtu anamahitaji ya kimwili yatatimizwa vpi kama muhusika kila cku kachoka,anakuja late kalewa!uzalendo wataka moyo
Rrondo nimekusoma mkuu,👍👍👍,nilichomaanisha ukiwa maeneo ya public simu huitumii.unauchuna.labda kwa wale wenye show off.thanx once again
Mimi nijuavyo kibaka au mwizi sio lazima anapokuibia ajue una miliki simu ya aina gani.sometimes anakuwa tu anabahatisha tu.hata wenye tochi naamini wanaibiwa.sioni kama ni shida mtu kununua cmu ya milioni moja na zaidi.maadamu anaweza kuinunua.afadhali anayenunua kitu anachokipenda.kuliko...
Asante ndg Uteu, huo mchepuko cujui kivile,ila ni binti flan,huwa anatumia sasa huko inategemea si unajua tena,marafiki hawajuii.ikitokea hivo sijui itakuwaje,Mungu aniepushie,patachimbika hatari,tuna watoto 2.asante dear
Cyan6 he is myn unajua eeh ni jukumu langu ukumbuke napoona dalili za hatari lazima nisome alert,kwani mie nina damu ya chuma kwamba sifeel pain.nimuache tu.utangoja.saana,sifi na tai shingoni.asante pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.