Halafu wanasema usikague simu ya mpenzi wako
mkuu yani umequote uzi wooooooooooooooooote huuu?..Tatizo ni kwamba wanaume wenye mapenzi ya dhati wanapata wanawake feki and viceversa. Ni shidaa
mkuu yani umequote uzi wooooooooooooooooote huuu?..
button za phillips q243 zimebonyea!
Hatari 2pu hapo huyo dada lazima atakuwa anajuta aiseee roho lazima inamuuma sana mwee niliexperience hii muda kidogo
Sijafikia kuoa ila nikianguka najikung'uta vumbi naendelea na safar n than wengi tuliochana tupo kama Mara fiki almost kila mtu ananiambia najutia sna kwann tuliachana na papuchi wananipa kishkaji no string attached ,kinachonicost huwa ni upole coz mi hata nikjua anacheat alaf nnamalengo nae napga chini japo moyo unauma ila kimya kimya tu naondoka na roho yangu