Recent content by pricaso

  1. pricaso

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Or Tamisemi fanyieni kazi maombi ya uhamisho ambayo yapo kwenye mfumo wa ess, maombi ya uhamisho ya zaidi ya miezi sita (6) na hii ni kufanyiwa approval tuu.
  2. pricaso

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

    Bila kuiona Pangani huu uzi ungekuwa feki
  3. pricaso

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kuwa na wanaume mabandidu na ambao tuna sura za kazi muda wote

    Na sura nzuri bila hela ni ushoga tuu.
  4. pricaso

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

    Acha upimbi wa kututusi kenge usie na madoa wewe. Unafurahia uhamiaji haramu unajua impact zake au unaongea tuu kufurahisha genge. Rwandese mna roho mbaya mno.
  5. pricaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

    Kura yangu kwa Miss Natafuta though kwa list hayupo.
  6. pricaso

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Bongo hakuna witchcraft college tusomee ulozi tuu maana hakuna usingizi.
  7. pricaso

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    02:26
  8. pricaso

    JamiiForums Tanzania Nusu ya mwaka imekata, unaona uelekeo wa kutoboa kwenye malengo uliyojiwekea au bado ramani hazisomeki vizuri?

    Wale wazee wa mwaka wakuforce mnaendeaje huko mjengoni?
  9. pricaso

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anashauriwa kutengua uteuzi wa Hassan Bomboko Haraka iwezekanavyo

    Huyu ali disco Mzumbe Kitivo cha Sheria alipashwa kumaliza masomo yake 2015. Aliliwa kichwa kwa uwezo wake mdogo.
  10. pricaso

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ana mamlaka gani kufunga baa?

    Kama Rais so what?
  11. pricaso

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kinyerezi kuna shida kubwa ya maji, group la DAWASA WhatsApp halifanyi chochote kutatua kero hii

    Wanapita sana humu sema wanapita kimya kimya ila Waziri wa Maji ni mzigo mno basi tuu ndo hiyo kubebana ila to be honest wizara imemshinda kabisa. Hakuna kinachofanyika zaidi ya porojo. NB: tupo na baba ake mdogo Hussein Awesso ni full kuvimba na kuweka majungu kwa watumishi wa umma.
  12. pricaso

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa kampuni ya Cocacola, fanta ndani ina kisoda kilichokunjwa

    Coca-Cola Kwanza Vs Berison Mbezibwa
  13. pricaso

    JamiiForums Tanzania Siku tulipokutana na kundi la samaki baharini

    Katika harakati zenu hujawahi kwenda mafia, Kigombe, Kipumbwi na Mkwaja, kazi ya uvuvi ni moja ya kazi ngumu sana na maslahi kidogo sana kwa mabaharia.
  14. pricaso

    JamiiForums Tanzania Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

    Nimekuelewa vizuri tuu kwamba kanisa katoliki linaanda watumishi wake vizuri kimfumo lakini katika uislam ni ujanja ujanja hakuna sehemu shekhe anaandaliwa zaidi ya kusoma madrasa ukijua msaafu vizuri una kuwa shekhe au usitadhi, basi sawa ndio maana hata wewe mwenyewe huwezi jenga hoja, sababu...
  15. pricaso

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mnataka kumtoa Phiri mnayemchukia kwa Mkopo ili mumlete huyo Mtogo wenu aliyekubali kutoa 10% Kwenu?

    Upo sawa Mkuu pale Simba kuna ukiritimba mkubwa sana.
Back
Top Bottom