Waswahili wanamsemo unasema "pili pili ya shamba inawawashia nini".Nikianza na mzee akili mali hii siyo mara yako ya kwanza kuchafua hali ya hewa mara kibao umekuwa ukifanya...
Tukikumbuka sakata la mwaka 2003 yanga kampuni na yanga asili wakati yanga ikiwa chini ya nchunga wewe ndiyo...
Kwanza kabisa nimpongeze waziri wa elimu kazi yake nzuri anayoifanya katika sekta yaelimu.....
Siwezi kusema moja kwa moja ni kwauzuri gani kwasasa kwakuwa wizara hii ni kama kivuli amakitengo fulani ambacho kipo ndani ya TAMISEMI....Hii ni kwakuwa kwa sasa wizara hii imekuwa ikisimamia sera na...
MADHARA NA TAFSIRI YA WARAKA HUU
Kwanza hakutakuwa na mshahara mpya wala nyongeza yoyote ya mshahara yaani ulipo utaendelea kuwepo hapo hapo.....
Ajira ya 2012 na 2013 msipoteze muda kuuliza mtapanda lini na wale wenzangu na mie likizo yenu ya malipo ni mwezi huu basi andikeni hakuna kitu...
MOVIE BADO INAENDELEA.....
Naanza kuamini kuwa kunavita baridi ndani ya serikali kati ya watendaji na raisi....
Awali zilienea taarifa yakuwa hakuna ajira za waalimu mwaka huu na kila mtu akaamini hivyo....Baadae serikali ikaja ikakanusha nakusema itawachukulia hatua za kinidhamu...
Katika sekta ya elimu kwa kipindi kirefu sasa kumekumbwa na changamoto mbalimbali husani ,sera na uendeshaji........
Lakini mbali na siasa ambazo zimetawala elimu yetu lipojambo kubwa kabisa la mfumo mzima wa elimu ambalo linazalisha madudu yote haya tuliyonayo......
SIASA KATIKA ELIMU...
Nataka nikuulize swali tu la kawaida ambalo haliitaji manamba kama yako.....ujenzi nyumba moshi utafanana na dar au mfuko wa cement arusha sawa na mtwara...gharama za ujenzi hutegemeana na upatikanaji wa malighafi ndiyo maana tunasema ujenzi wa nyumba ya tofali za mchanga dar ni rahisi kuliko...
Twende taratibu mbowe analipwa bei gani kwa mwezi kuanzia uwaziri kivuli,kiongozi wa upinzani bungeni,mwenyekiti wa chama,ubunge na mapato ya ukumbi wake wa disko kwa mwezi shilingi ngapi
Ulisusia bucha fisi ulitegemea nini kingetokea
Kingine kutoutambua uchaguzi wa marudio ilitosha kuamini kutotambua kinachopatikana kutokana na uchaguzi huo
Mengine tukutane baadae nitayaeleza kuhusu cuf ni siri ambayo wengi hamuijui
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.