Ahsante! Tayari nimesoma ila......= subiri
Hoja ujibiwa kwa hoja siyo Maigizo Kaole plusngurumo, kwishney
unyumbu mbaya
Hoja ujibiwa kwa hoja siyo Maigizo Kaole plus
Unauwakika gani kua siyo mimi? Jibu hoja wacha ukaole sanaakwani wewe ni ngurumo??
mwambie ngurumo, lowassa ndio hivyo tena
ha ha ha
HIZI SIASA ZA KUTAKA KUONESHA KUWA WATU WA KIGAMBONI HAWAWEZI KULIPA 200 YA KIVUKO SIZIPENDIIIIIIIIIIIII.INA MAANA HUKO KIGAMBONI ZINAKAA MAITI HAYA HEBU TUSEME NI KWELI BASI HAWANA HIYO 200 YAANI HATA KUVAA UNIFORM ZA SHULE UKAVUKA BURE UMESHINDWA?????????????????
toa hoja acha kusema tu mleta maada ana chuki! Ni kipi ambacho mleta maada kasema cha uwongo? Au ni kipi kampakazia? Saa nyingine bora kukaa kimyaYOU ARE JUST A HATER!!
Labda niseme tu kuwa "Haters make us famous"
Mtoa mada kalale usingizi.
We love our President!
WATANZANIA HAWATAKI MAIGIZONchi hii ni ngumu kuongoza kiukweli,, ukitaka kujenga historia ya kujinyonga omba ridhaa ya kuiongoza hii nchi
Unauwakika gani kua siyo mimi? Jibu hoja wacha ukaole sanaa
Usiandike kimezengwemsaidieni huyu!, suppose nisipojibu unafanyaje?? ha ha ha
Kaole na ccm ni ndugu moja Maigizo mtindo mojaRais wangu hana muda wa kurembaremba. Kila binadamu ana mapungufu yake hata na huyu aliyeanzisha hii mada!. Hapanikazitu!
Duni ameshawakimbia UKAWA! UKAWA ni watu wa matukio tu na siyo siasa!Kaole na ccm ni ndugu moja Maigizo mtindo moja