Recent content by Pretty

  1. Pretty

    JamiiForums Tanzania The United Banana Republic of Tanzania!

    Kwanza alikuwa anashindana na nani? Polepole alishasema huu uchaguzi ulikuwa ni kiini macho tu, sababu vitambulisho vya nida na sijui kupiga kura tayari vilikuwa kwenye system ya kupiga kura na matokeo tayari walikuwa nayo. Huyu bibi kashadoda asubuhi na mapema, asubiri tu anguko lake linakuja.
  2. Pretty

    JamiiForums Tanzania PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

    Poor Polepole😩, leo wamekugeuka utafikiri na wewe ulikuwa mpinzani .
  3. Pretty

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

    Hebu niamkie wewe Generation Z
  4. Pretty

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

    Ohhh No 🥲, May he rest well .
  5. Pretty

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Ohh no 🥲, he was such a good man. May he rest well .
  6. Pretty

    JamiiForums Tanzania Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

    I like Mange's drama, na divorce ni kawaida now days.
  7. Pretty

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    ......Aisee siamini bado, pole sana Habiba Filikunjombe, umebaki mjane ukiwa bado mdogo.
  8. Pretty

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    .......kweli kizuri hakidumu, member mwenzetu huyu wa jamii forum, japo hukutumia jina lako halisi...nikikumbuka mada zako za MMU NA Jukwaa la siasa na ushauri wako Deo Filikunjombe siamini kama haupo tena. BWANA AMETOA NA KUTWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
  9. Pretty

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    ...........Nafuu apate mwanamke, wanaume wameshashindwa kuendeleza hii nchi.
  10. Pretty

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

    .......Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani.
  11. Pretty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

    .......Huyo soda tu mbona nafuu!! Mie nilikuwa nataka kuku wa kienyeji mchemsho kila siku na soda ya fanta ndio maji. Huwa nikikumbuka nacheka sana, we vumilia......akishusha tu hata tamani hiyo coke. Ni hormones za mimba hizo.
  12. Pretty

    JamiiForums Tanzania Wadada na Wakaka wengi waliokwenda nje kusoma/kufanya kazi, wanarejea wakiwa hoi

    .......Mie pia mla vumbi, ila nawaonea wivu wabeba box. Hawana mifoleni ya ajabu ajabu barabarani. Maji na umeme wanapata all the time, hawana mgao hao. Huduma za afya kwa raha zao. Mgojwa akizidiwa, ambulance ipo mlangoni ndani ya 10 mins. Yaani kwa kweli wana raha sana. Sasa huku Tanzania...
  13. Pretty

    JamiiForums Tanzania Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

    .......I like it.
  14. Pretty

    JamiiForums Tanzania Wadada na Wakaka wengi waliokwenda nje kusoma/kufanya kazi, wanarejea wakiwa hoi

    .........Ligi ya wala vumbi na wabeba box huwa inachekesha sana.
  15. Pretty

    JamiiForums Tanzania Kutoka mwanamme kwenda kuwa mwanamke, maajabu haya

    ........Dahhhh!! Yaani huyu baba!! 60+years kuchange gender!! Ni mgonjwa huyu, si bure.
Back
Top Bottom