Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Kama kuna kashaurusha humu haya weee

Ila kichwapanziii insta leo kanimaliza kwa kuweka mwimbo huu yaani unaendana kabisa na ya mange kampata kweli....mbavu zangu

Si kwa maneno hayooooo...nilikuwa siufahamu kumbe udaku mtamu eeeh

 
Yaan kila kitu anajua yy,zaid alichokuwa akinikera ni kutokupokea maoni ya wengine,akipost kitu ukimkosoa tu unakula solex,muda mwingine anakurupuka tu ukimweleza ukweli kufuri. Yaani mshenzi sana
Kabisaa mi nishakula solex langu ata sijui nini kinaendelea kwake hatak kabisa kukosolewa anajiona yupo perfect kuliko kuwasema wenzie no moja ila yeye sasa anajikuta victim mi nmefurahi sana
 
Yaan hata mm nimekula solex,but namchungulia kwa acc nyingine. Sasa anaact kama victim wakati kuna nafsi nyingi kazijeruhi bila hata sababu ya msingi. Kweli malipo ni hapahapa duniani,huu ni mwanzo tu asiporekebisha njia zake ataumia zaid
 
1468948049682.jpg
 
Watu wametengeneza hadi keki ya pongezi. Jamani kweli tanzania tunapenda matatizo ya wengine. Sawa mange ni special case ila hili ni funzo kwamba twapaswa kuomba daily tusitetereke maana no sheedah
 
Mtapayuka sana na kuendelea kumjaza ujinga, mchawi wa Mange ni Mange mwenyewe, aachane na maisha ya watu na aishi maisha yake na Mungu atambariki. That's it!

Yule dada ni mpumbavu wa mwisho. Ana watoto wa 3 kwa wanaume wa2 tofauti na talaka juu lkn cha kushangaza ana wasuta wenzake.....sasa yeye na Zari nani ni nani? Yeye na Linda anae muita mpekecha cherehani nani zaidi? Yeye anae ishi kwa kutegemea % kutoka kwa x wake nani angalau? Pumbavu sana yule
 
mie nacheeeeka tu.
Hizi habari nilizijua long time,nikaleta huku naye akaja kukanusha.
Akasababisha nikapigwa ban ya siku kadhaa.
Yako wapi?
Sioni jipya ndio maana niko kimya.Japo nilishtuka sana kwa picha za mrembo Nyari na Lance.
Na zile caption za Kichwapanzi ndio kabisaaaaa mbavu sina.
#MeAmBiziiiii mwasu Ayanda85
Na mimi natumikia ban sijui itaisha lini hivi nimefungua hii inipoze machungu ya ban.pole sana
 
kiboooooooooooooooooooooo ngoja huyu mpare afufuke zari atatukaniwa mpaka nywele za kwapa za bibi yake kaburini
Amfufue mara ngap leo kamuamkia zari kuwa kabla ya kuzaa na mond alikuwa na watoto 4 na uyo wanne ni wakike anamficha
Nayeye bishosti anasema yule mdogo wa zari Zuleyah ni mtoto wa kwanza wa zarinah hassan
 
its amaizing watu wanavyo jaribu kujustify ujinga wa huyu mwanamama! Its only your life ukiishi kivyako, lakini rule inabadilika pale unapo amua kuwa mpuuzi na ku attack wengine ili uonekane mwamba. Kwahiyo wala sishangai anapo pata hate, si ndio maisha aliyo yalilia kitambo aka an eye for an eye.
 
Back
Top Bottom