Recent content by Pretty loU

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepambana hadi nimekuwa ishu, kwa machizi ishu, kwa mademu ishu

    Mi ni jembe sichagui shamba,brother men uzembe haununui pamba,mi ni ndege sigongan na mwamba,muulize chege wa temeke kama juhudi ni ushambaaa,unampenda mama na unajuta kuzaliwa,kaza kijana ukilala umelaliwa.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Zijue rekodi walizoweka wasanii wa Tanzania

    Sawa lakini msanii alie influence wasanii wenzie kushoot video nje ni AY si diamond.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwa leo TID kafunikwa mbali sana na Hemed PHD 'muuza sura' kwa kila sekta

    Upo pappination mkuu?mbona kama una detail sana
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa leo TID kafunikwa mbali sana na Hemed PHD 'muuza sura' kwa kila sekta

    Ayo ni maneno yako.wait
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwa leo TID kafunikwa mbali sana na Hemed PHD 'muuza sura' kwa kila sekta

    Fununu ni phd ameshoot video ya milioni 15
  6. P

    JamiiForums Tanzania You may have succeded at life if......

    If you do something no one ever accomplished before. If you give more to the human race than you take away. If you are ever a world champion. If you spend more time haPpy than sad. If you practice refined taste. If you spend less time thinking about other people than they spend thinking...
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila inakera, inakuwaje unampa mimba binti alafu unamuacha?

    Ukipenda chips usichukie mimba
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boyfriend ana majibu ya dharau

    Isidingo
  9. P

    JamiiForums Tanzania AY achia Zigo aisee

    Video ipo director ni nisher wamechukulia zanzbar labda jamaa ajaamua kuiachia au kuna makubaliano ayajaisha
  10. P

    JamiiForums Tanzania Maeneo anayoweza kuishi mtu wa kipato cha chini na juu nchini Tanzania

    Iringa watu wa vipato vya chini wanaishi isoka,kihodombi nk. Watu wa vipato vya juu wanaishi gangilonga,wilolesi,mkimbizi kwa uchache wake,sabasaba,majengo mapya nk.
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Talaka za ajabu hapa duniani

    Namba 7 jamaa alibugi vibaya.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lazima nishambuliwe kwa mada ya leo

    Boobookitty
  13. P

    JamiiForums Tanzania The home of GT! Hodi humu ndani

    Ahsante sana mkuu.
  14. P

    JamiiForums Tanzania The home of GT! Hodi humu ndani

    Ahsante kwa vyote ukaribisho na onyo.
  15. P

    JamiiForums Tanzania The home of GT! Hodi humu ndani

    Ahsante mwenyeji wangu.
Back
Top Bottom