Eeeh njoeni na hoja hii ili kusaidia kupata kura za wazee. Uzuri wa hili suala tu kwamba litasaidia kupata kura za wazee, bali pia ni njia mojawapo sahihi ya kuwasaidia. Wazee lets say kuanzia umri wa miaka 65 na kuendelea wawe wanapata dawa bure (aidha kupitia hospitali za serikali au kama...
Nashukuru wote kwa Majibu, lakini naona bado sijapata jibu la uhakika. Pls wale wanaotaka PM, nitashukuru sana kama mkiweka wazi hapa halafu hayo mambo mengine ya PM yatafuata. Asanteni. Bei ya ndama wa Maziwa ni kiasi gani na naweza kuwapata wapi ?
mtaji ni kiasi gani ? na nikisema nichukue ndama lets say wa miezi 5-6 na nikawakuza, au unadhani ni vizuri nikichukua Ng'ombe wakubwa tayari kwa ajili ya kukamuliwa ?
sabuwanka
ulinunua Ng'ombe wa Maziwa kiasi gani ? walikuwa na ukubwa gani ? ningependa kuanza kufuga Ng'ombe wa Maziwa lakini ningependa kuanza na ndama wa miezi kama 5-6 na niwakuze
sawa, lipi litafanikiwa ? Lengo ni kufanikiwa katika hilo nililoeleza hapo juu, kama wazo langu halifai sawa basi toa wazo lako litakalofaa na nitakuunga mkono. Lengo ni kufanikiwa mkuu. Asante
Kwa kuwa yule mkuu amedai kwamba hapelekeshwi, na haambiwi, kwa kifupi mkuu ameonyesha jeuri na kiburi cha hali ya juu kwetu sisi watanzania, nadhani itakuwa vizuri tukianza kuangalia ni jinsi gani tunaweza kufanya "lobbying" ya wabunge wa JMT kuangalia njia gani inaweza kutumika kuhakikisha...
Mbali na yote yanayosemwa kuhusu hawa wawili, ukaribu wao na kadhalika, je unadhani ni ipi moja ya uwezekano wa JPM kushindwa ama kuchelewa kumtumbua Bashite ?
Je, inawezekana kwamba Bashite ana siri nyingi sana za JPM ? Ukaribu wao kiasi cha D.A.B kujua siri za JPM ulianza vipi ?
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.