Mrejesho: Ufugaji wa nguruwe, kilimo cha matikiti maji na ufugaji ng'ombe wa maziwa

ulikosea kwenye chakula .ulitakiwa uchanganye pumba,mashudu na siku nyingine unampa majani au mabaki ya mboga mboga.Ratiba na kiasi cha chakula nacho ni kitu muhimu.Nguruwe anaweza kula mara moja kwa siku lakini akashiba na akanenepa.Nguruwe ni kama binadamu hata apataje chakula lakini kama tumbo lake limejaa minyoo unategemea atanenepaje? wewe ulikuwa unalisha minyoo na watakuwa walinenepa sana he he! MRADI WA NGURUWE ASIKUDANGANYE MTU UNALIPA SANA na hiyo IMANI potofu kuhusu kula muda wote sio kweli hao ni wanyama tabia zao zinategemea na utakavyowafundisha wewe.mimi nafuga nguruwe na huwa tunawalisha mara moja kwa siku saa tano asubuhi kila siku na wakimaliza kula wanalala ni kujamba tu tu kama scania mpaka kesho yake na chakula tunachompa kila nguruwe ni koleo mbili(spade) naona ni kama kilo na nusu na chakula huwa ni mchanganyiko wa pumba na mashudu na siku nyingine tunawapa majani na mabaki ya mboga mboga au maganda ya ndizi.KWA FAIDA YAKO ULE UCHAFU unaotoka kwenye utumbo mpana wa NG'OMBE(TAULO) ni chakula kizuri sana kwa nguruwe.nenda bucha kakusanye mara moja moja unawapa watalamba mpaka ukuta siku hiyo he he! TAHADHARI NYINGINE NI MBEGU.CHAGUA MBEGU NZURI NA ANGALIA UNAPOWAPANDISHA WASIWE WANRUDIANA WAO KWA WAO MAANA YAKE BABA KUMPANDA MTOTO AU MAMA AU DADA INACHANGIA PIA KUWA NA NGURUWE WENYE AFYA DHAIFU.TAFUTA DUME LENYE MBEGU NZURI TOKA UPANDE MWINGINE KABISA NA KAZI YAKE IWE NI KUPANDA NA KILA NGURUWE WAKIZAA TENGA WA KUNENEPESHWA KWA NYAMA NA WA KUZAA .
Hongera boss unataka kusema nguruwe mkubwa anakula 1.5kg serious?
Na kwenye taulo ni kweli hapo hahahhah nyingine kiboko ni utumbo wa samaki kwa wale wa karibu na ziwa/bahari.
Naomba nikuulize hivi kuchemsha chakula mfano maganda kama viazi,utumbo n.k na kuwapa cha baridi mfumo UPI ni sahihi?
 
NINGEKUSHAURI SIKU MOJA MOJA UCHEMSHE NA SIKU NYINGINE UWAPE MAJANI MABICHI.WASIPOPATA VITAMINI ZOTE VIZURI NDIO ILE YA NGURUWE KULA WATOTO ANAPOZAA.UNAWEZA PIA UKAWA NA ODA YA YALE MADAMU YA NG'OMBE KULE MACHINJIONI UKAYACHEMSHA NA UKACHANGANYA NA MBOGA MBOGA AU MAJANI.USIMPE MADAMU AU MASHUDU YA ALIZETI PEKEE YAKE ATANENEPA SANA NA MAFUTA YATAKUWA MENGI KULIKO NYAMA! NGURUWE ANALIPA KIONGOZI!!!!!
 
ulikosea kwenye chakula .ulitakiwa uchanganye pumba,mashudu na siku nyingine unampa majani au mabaki ya mboga mboga.Ratiba na kiasi cha chakula nacho ni kitu muhimu.Nguruwe anaweza kula mara moja kwa siku lakini akashiba na akanenepa.Nguruwe ni kama binadamu hata apataje chakula lakini kama tumbo lake limejaa minyoo unategemea atanenepaje? wewe ulikuwa unalisha minyoo na watakuwa walinenepa sana he he! MRADI WA NGURUWE ASIKUDANGANYE MTU UNALIPA SANA na hiyo IMANI potofu kuhusu kula muda wote sio kweli hao ni wanyama tabia zao zinategemea na utakavyowafundisha wewe.mimi nafuga nguruwe na huwa tunawalisha mara moja kwa siku saa tano asubuhi kila siku na wakimaliza kula wanalala ni kujamba tu tu kama scania mpaka kesho yake na chakula tunachompa kila nguruwe ni koleo mbili(spade) naona ni kama kilo na nusu na chakula huwa ni mchanganyiko wa pumba na mashudu na siku nyingine tunawapa majani na mabaki ya mboga mboga au maganda ya ndizi.KWA FAIDA YAKO ULE UCHAFU unaotoka kwenye utumbo mpana wa NG'OMBE(TAULO) ni chakula kizuri sana kwa nguruwe.nenda bucha kakusanye mara moja moja unawapa watalamba mpaka ukuta siku hiyo he he! TAHADHARI NYINGINE NI MBEGU.CHAGUA MBEGU NZURI NA ANGALIA UNAPOWAPANDISHA WASIWE WANRUDIANA WAO KWA WAO MAANA YAKE BABA KUMPANDA MTOTO AU MAMA AU DADA INACHANGIA PIA KUWA NA NGURUWE WENYE AFYA DHAIFU.TAFUTA DUME LENYE MBEGU NZURI TOKA UPANDE MWINGINE KABISA NA KAZI YAKE IWE NI KUPANDA NA KILA NGURUWE WAKIZAA TENGA WA KUNENEPESHWA KWA NYAMA NA WA KUZAA .
Shukrani, nimekuelewa, naomba ufafanuzi zaidi juu ya huo uchafu wa utumbo wa ng'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa, hakuna fursa ya kufanikiwa kirahisi rahisi. Pia katikati ya watu wanaosema wamefanikiwa kwenye jambo fulani basi hapo hapo ujue kuna wengi zaidi walioshindwa vibaya sana katika fursa hiyo hiyo.

Kufanikiwa ni suala binafsi na mara nyingi limezungukwa na siri kubwa sana.
Huu ni ukweli mtupu. Niko sehemu nahangaika na moja ya mradi uliosifiwa sana humu JF. Nasubiri nifike mwisho nije na Uzi uliokamillika.

Diana Spencer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu haukuizingatia
Roughages
Concetrates &
Succulents Ratios katika kila meal unazowapa ngurue wako ....niko na elimu ya kilimo na mifugo ...Dairy cattle, pig industry, Beef cattles
poultry farming, bee keeping , crop productions kwa ujumla soon naingia shambani mimi kama mimi, ....nitakuja na mirejesho na updates
 
sabuwanka

ulinunua Ng'ombe wa Maziwa kiasi gani ? walikuwa na ukubwa gani ? ningependa kuanza kufuga Ng'ombe wa Maziwa lakini ningependa kuanza na ndama wa miezi kama 5-6 na niwakuze
 
Ng'ombe wa maziwa sikubishii sema capital yake ndo inatakiwa uwe vizur kwa kias chake, tofaut na nguruwe ambao unaweza anza hta na piglets10 na ukasonga
mtaji ni kiasi gani ? na nikisema nichukue ndama lets say wa miezi 5-6 na nikawakuza, au unadhani ni vizuri nikichukua Ng'ombe wakubwa tayari kwa ajili ya kukamuliwa ?
 
ulikosea kwenye chakula .ulitakiwa uchanganye pumba,mashudu na siku nyingine unampa majani au mabaki ya mboga mboga.Ratiba na kiasi cha chakula nacho ni kitu muhimu.Nguruwe anaweza kula mara moja kwa siku lakini akashiba na akanenepa.Nguruwe ni kama binadamu hata apataje chakula lakini kama tumbo lake limejaa minyoo unategemea atanenepaje? wewe ulikuwa unalisha minyoo na watakuwa walinenepa sana he he! MRADI WA NGURUWE ASIKUDANGANYE MTU UNALIPA SANA na hiyo IMANI potofu kuhusu kula muda wote sio kweli hao ni wanyama tabia zao zinategemea na utakavyowafundisha wewe.mimi nafuga nguruwe na huwa tunawalisha mara moja kwa siku saa tano asubuhi kila siku na wakimaliza kula wanalala ni kujamba tu tu kama scania mpaka kesho yake na chakula tunachompa kila nguruwe ni koleo mbili(spade) naona ni kama kilo na nusu na chakula huwa ni mchanganyiko wa pumba na mashudu na siku nyingine tunawapa majani na mabaki ya mboga mboga au maganda ya ndizi.KWA FAIDA YAKO ULE UCHAFU unaotoka kwenye utumbo mpana wa NG'OMBE(TAULO) ni chakula kizuri sana kwa nguruwe.nenda bucha kakusanye mara moja moja unawapa watalamba mpaka ukuta siku hiyo he he! TAHADHARI NYINGINE NI MBEGU.CHAGUA MBEGU NZURI NA ANGALIA UNAPOWAPANDISHA WASIWE WANRUDIANA WAO KWA WAO MAANA YAKE BABA KUMPANDA MTOTO AU MAMA AU DADA INACHANGIA PIA KUWA NA NGURUWE WENYE AFYA DHAIFU.TAFUTA DUME LENYE MBEGU NZURI TOKA UPANDE MWINGINE KABISA NA KAZI YAKE IWE NI KUPANDA NA KILA NGURUWE WAKIZAA TENGA WA KUNENEPESHWA KWA NYAMA NA WA KUZAA .
 
Pole na hongera sana kwa kulifanyia jambo kazi, maana wengi tunaongea sana kutekeleza hakuna....

Mi ninachoweza kusema ni kuwa, Ukifocus ktk kitu kimoja ni rahisi kutoka kuliko kubadilibadili biashara, utaconcentrate Sana na utajua utatue vipi changamoto zitakazokukabili kwa kusoma zaidi, kuulizia waliokwishanya, kuona nk nk..ninachoona hapa Katika mradi wako wa nguruwe cha kwanza hukufanyia utafiti wa kutosha ni kuhusiana na mbegu bora ya kufuga, eneo ulipo mjini VS Kijinini nk, njia za jinsi ya kupunguza gharama za ulishaji, Aina ya ujenzi WA banda pia ni factor muhimu mno no mno..Kuna vitu ulimiss, baba yangu huu ni mwaka WA 35 anafuga nguruwe na anauza Sana tu na kupata pesa za kumtosha, zamani ilikua kama wewe six months kg 30, sasa hivi kaimprove Sana tu! Hadi Kuna kipindi alikua anauzia wachina laki 3 nguruwe WA miezi mi2, alikua anawaambia siuzi nguruwe mtoto wakawa wanambembeleza akasema bila Laki 3 siuzi, aliuza Sana hicho kipindi...

MOTIVATIONAL SPEAKERS hukupa mwanga sasa wewe kama wewe inapasa kuingia chimbo zaidi, unajiongeza na wewe mwenyewe pia kuona kama kuna ukweli ama lah, all in all Mi nawapenda coz wanahamasisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu naomba kujua aina ya ujenzi wa banda unaathiri vipi ukuaji wa nguruwe. kwa kirefu kidpgo
 
Kilimo Cha Matikiti, Binafsi nimekifanya na Ni meaka wa tatu saizi tangu niingie rasmi kwenye kilimo kwa ujumla. Changamoto zipo nyingi sana na hasa hasa unapoingia kwa Mara ya kwanza. Nilichojifunza, kwanza, usiwe mwepesi wa kukata tamaa.Pili dhamira, unapoingia kwa Mara ya kwanza, iwe kujifunza zaidi namna ya kuhudumia kwa ufanisi zao husika ili likupe matokeo tarajiwa. Hapa epuka kulima pakubwa, anza na sehemu ndogo, nusu au eka Moja. Tatu, jifunze changamoto za zao husika, si tu kwa kusoma Bali shambani Moja kwa Moja, Nne Lima Hadi mwisho, hapa namaanisha usiishie katikati ya Safari, jitahidi na hakikisha unalima Mara nyingine ili kurekebisha makosa ya Nyuma. Mwisho husisha Mungu wako katika kilimo chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulikosea kwenye chakula .ulitakiwa uchanganye pumba,mashudu na siku nyingine unampa majani au mabaki ya mboga mboga.Ratiba na kiasi cha chakula nacho ni kitu muhimu.Nguruwe anaweza kula mara moja kwa siku lakini akashiba na akanenepa.Nguruwe ni kama binadamu hata apataje chakula lakini kama tumbo lake limejaa minyoo unategemea atanenepaje? wewe ulikuwa unalisha minyoo na watakuwa walinenepa sana he he! MRADI WA NGURUWE ASIKUDANGANYE MTU UNALIPA SANA na hiyo IMANI potofu kuhusu kula muda wote sio kweli hao ni wanyama tabia zao zinategemea na utakavyowafundisha wewe.mimi nafuga nguruwe na huwa tunawalisha mara moja kwa siku saa tano asubuhi kila siku na wakimaliza kula wanalala ni kujamba tu tu kama scania mpaka kesho yake na chakula tunachompa kila nguruwe ni koleo mbili(spade) naona ni kama kilo na nusu na chakula huwa ni mchanganyiko wa pumba na mashudu na siku nyingine tunawapa majani na mabaki ya mboga mboga au maganda ya ndizi.KWA FAIDA YAKO ULE UCHAFU unaotoka kwenye utumbo mpana wa NG'OMBE(TAULO) ni chakula kizuri sana kwa nguruwe.nenda bucha kakusanye mara moja moja unawapa watalamba mpaka ukuta siku hiyo he he! TAHADHARI NYINGINE NI MBEGU.CHAGUA MBEGU NZURI NA ANGALIA UNAPOWAPANDISHA WASIWE WANRUDIANA WAO KWA WAO MAANA YAKE BABA KUMPANDA MTOTO AU MAMA AU DADA INACHANGIA PIA KUWA NA NGURUWE WENYE AFYA DHAIFU.TAFUTA DUME LENYE MBEGU NZURI TOKA UPANDE MWINGINE KABISA NA KAZI YAKE IWE NI KUPANDA NA KILA NGURUWE WAKIZAA TENGA WA KUNENEPESHWA KWA NYAMA NA WA KUZAA .
Hahahaha wanajamba kama scania...ila kwenye kila kufeli jua kuna factors nyuma yake asante mkuu kwa kuelewesha hili vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom