Recent content by PRESIDA TO BE..

  1. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Saloon Inauzwa

    Ukitaka picha njoo whatsap ndugu
  2. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Saloon Inauzwa

    Ndugu mwanaJamiiForum, Kaka ww unaplan ya kufungua saloon nauza saloon complete.. 1. Kiti cha kunyolea 2. Kiti cha kukalia watu watatu 3. Vioo full set 4. Mashine moja ya kunyolea 5. Mlango wa fremu 6. Other accessories za kunyolea. Vitu vyote ni vipya unachukua na kuanza kazi. Bei Jumla...
  3. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Kaka habar...naomba nikuPM tafadhali. Nmejaribu naona siwezi anzisha convo na ww
  4. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Mtaala Mpya wa Elimu, Bila Kiswahili chuoni, tukutane Mahakamani!

    Umeandika Utumbo. Rudia kusoma tena na tena huku ukitafakari.
  5. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop HP inauzwa Dsm

    Laptop RAM GB8 Core i 5, HDD 500.. Imetumika miezi miwili toka inunuliwe kariakoo. Bei: 380k. Call: 0628825745
  6. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Namanage Account za Forex

    Trade pesa zako bana. Kafanye kazi then fund account yako. Pili ww huna ndugu wenye pesa hiyo alafu uwafanye mamimionea?
  7. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Jamani mimi tumbo linajaa gesi..na kujamba ovyo .nisaidieni dawa
  8. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Ulaaniwe umasikini! Kuwa jobless umekuwa mzigo mzito sana kwangu

    Yes nipe connection bro. Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
  9. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Ulaaniwe umasikini! Kuwa jobless umekuwa mzigo mzito sana kwangu

    Mimi Niko kwenye Pro senior Jobless....Jamani mtusaidie twafaaaa!!!!! Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
  10. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop HP: Dar Es Salaam

    Laptop for sale... #0714624784 Specs Core I 7, 4RAM, SSD 128, Touch and rotatable screen, Price: 450k Tsh.
  11. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Tuulize chochote kuhusu mbao na changamoto zake

    Mkuu paa langu linaliwa na mchwa vip naweza pata suluhisho mkuu
  12. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa Kuoa

    Natafuta binti wa kuoa. Kama uko serious karibu DM. Nakaa dsm, Kwangu/Nmejenga Miaka 31 Kazi- Nmejiajiri kwa sasa ..ila professional yangu ni Engineer. Sifa za msichana. Awe anakaa dsm. Miaka 22-28 Karibu Dm.
  13. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa "Mentor" katika biashara

    Boss naomba uwe mentor wangu kwenye hili. Wangari Maathai, Sent using Jamii Forums mobile app
  14. PRESIDA TO BE..

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji / angel investor

    Na mm naomba details za project nione kama naweza kuwa investor..Thanks. PM Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom